jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Usipende kujua mengi we we tuliaNi kweree kabisa ila wewe umejuaje sasa shem
Au ulikuwa unaombba Mungu utajwe nn?
Usipende kujua mengi we we tuliaNi kweree kabisa ila wewe umejuaje sasa shem
Hapana nina Inna ananitosha ila jibu lako nimelipenda kwakweliUsipende kujua mengi we we tulia
Au ulikuwa unaombba Mungu utajwe nn?
Nangoja ushauri wako bado, maana wote wamegoma kunishauri wewe tu ndo tumaini pekee nililobaki nalo!
Kufa na utamu wako mamii
Kwanza mtaje jina ili tujue tunakusaidiaje
Haha ushakuja na mbwembwe zako...mambo vp student
Mapenzi kwa Nanni mbona unakufa na tai shingoni?
Sema kwanza ni nani Nleterewa au Mwifwa single dad?
Hii ndio shida ya mabint wa
kiBongo angekuwa mzungu amesha mwaga mchele
Baki na utamu wako full stop![]()
Duh pole. Hakuna namna funguka tu. Usiweke kitu moyoni maana kitakutesa. Alafu siku hizi hayo mambo kawaida tu. Jiamini kumpenda mtu sio dhambi.

Inna tens? Mtakatifu alikosea wapi?Hapana nina Inna ananitosha ila jibu lako nimelipenda kwakweli
Hahahahahahh![]()
![]()
![]()
Ina maana huo ushauri wote hapo juu unajifanya hujauona
Kama umeshindwa kufuata ushauri hata mmoja hapo juu
Kilichobaki ni kumwendea kwa KALUMANZILA tu.![]()
![]()
Huyu x- mwanafunzi wako anavituko sana itabidi tumzoee tu, we hujaona mahali kasema nabii Tito ndie anaemwamini?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa ni wakati muafaka wa kukanusha hizo tuhuma

Yes inna kipenz changu duniani hapa hamna mtakatifuInna tens? Mtakatifu alikosea wapi?
Pole sanaleo usingizi wangu umekata natafuta wa kuchart nae
Miss dodomia 2020Khokho Khokho kooo
Anadhani nitashawishika kurudi darasani kwake kwa misemo hii ......
Mwambie Sishawishiki

nipe msaada nipakate usingizPole sana
Kumbe ulikua unamzungumzia huyoUwiiii
Saint Ivuga upo?
Tangia umeitwa neo unakuja? OK karibuKhokho Khokho kooo
Ujaoa?nipe msaada nipakate usingiz
mambo safii...Niko bombs mambo vepee