jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Mapenzi kwa Nanni mbona unakufa na tai shingoni?Sio mbwembwe best....
Mapenzi yananiua mwenzio, nipe ushauri wako![]()
![]()
![]()
Mapenzi kwa Nanni mbona unakufa na tai shingoni?Sio mbwembwe best....
Mapenzi yananiua mwenzio, nipe ushauri wako![]()
![]()
![]()
Sijambo Dear za masiku tele jamaniBundi tuko tunasubiri popo wachoke ndo tuingie zamuu
Ney kipenzi hujambo?
Sema kwanza ni nani Nleterewa au Mwifwa single dad?Sio mbwembwe best....
Mapenzi yananiua mwenzio, nipe ushauri wako![]()
![]()
![]()
Shida ni nini mpenzi?Hapalaliki
Jina la nini tena? Wewe nipe maujanja ya kumnasa huyo autesae mtima wanguKwanza mtaje jina ili tujue tunakusaidiaje
Hofu yangu kwako tuHumu ndanii kwemaa??
Sema kwanza ni nani Nleterewa au Mwifwa single dad?
we nipe ushauri, nikishamnasa utamfahamu tuNam hofu yngu kwako ...naona umerud baada ya bibie kujaHofu yangu kwako tu
Hilo kwangu swali zito na gumu kiujumla angelijibu Neybright maana ameshaingia ndoaninasikia ukiwa unachat huku unatafuta watoto kuna uwezekano mkubwa wa kupata mapacha.
Mm nipo kila Sikh bby, umeadimika we we ujueSijambo Dear za masiku tele jamani
Kuhusu ule ubuyu auAsante miss you too my dear
Demiss wewe.....ndo nini kuniacha kwenye mataa mchana?
Watoto wapo wa kutosha, tunapambana na uhenga wetu tuuShida ipo ila utaijua tu baadae, mpe hi shem maana nasikiaga hii ndo mida mizur ya kutafuta watoto
Jirani kipenzi nimekuhamu toka asubuhi sijakuona hapa nyumbani
Nisaidie kulegeza hii tai best, kweli itaniuaMapenzi kwa Nanni mbona unakufa na tai shingoni?