JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Habari popozz na bundiz!
Jamani naombeni ushauri...humu ndani kuna mtu nampenda sana ila naogopa kumwambia. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nifanyeje?
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Duh pole. Hakuna namna funguka tu. Usiweke kitu moyoni maana kitakutesa. Alafu siku hizi hayo mambo kawaida tu. Jiamini kumpenda mtu sio dhambi.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Aisee yani saivi ndo nishakua mwalimu wa balimi komredi[emoji3] [emoji3]
Inaelekea huyu x- Mwanafunzi wangu amenichafua sana kipindi naugulia maumivi ya kutoswa[emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa ni wakati muafaka wa kukanusha hizo tuhuma
 
Back
Top Bottom