jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Wewe jifanye tu umesahauKumbe ulikua unamzunguzia huyo
Wewe jifanye tu umesahauKumbe ulikua unamzunguzia huyo
Bado niko singleUjaoa?
Ndio love.Uwiiii
Saint Ivuga upo?
wagen wengimambo safii...
naona kumechangamkachangamka humu
Nimesahau nin tena shemWewe jifanye tu umesahau
Naenda kutafuta handsome udomMiss dodomia 2020
AsanteeeeTangia umeitwa neo unakuja? OK karibu
Hilo nalo tatizo sana kamandaBado niko single
inapendeza lakini maana siku hizi wenyeji wanachungulia tu na kukimbiaHaswaa na
wagen wengi
DaahNaenda kutafuta handsome udom

as Shem bhanaNdio love.
Inna kaniacha kasema anatafuta vidude kama vya le mutuz. Kasema mimi mziki wangu mnene sana kaushindwa kabisa.
Mzima wewe lakini?
Njoo bas hata unichum
Ni kweli kbs .Hilo nalo tatizo sana kamanda
Asanteeee
Nitakufanyia meditation hataona kinachoendelea na itakuwa siri ya ndani hata yeye anajua.as Shem bhana
Mbona hatujulishani?
Mm sithubutu hats kukuchumu maana Mr. Ana wivu sana
Hapa yuko tu ananichabo
inapendeza lakini maana siku hizi wenyeji wanachungulia tu na kukimbia
Safiii kabisa nambieMambo zako
hahaha na majukumu piaVyuma jmn wacha kabisa
Safiii kabisa nambie