Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
AhahahaaaaaaSema kwanza ni nani Nleterewa au Mwifwa single dad?
AhahahaaaaaaSema kwanza ni nani Nleterewa au Mwifwa single dad?
Uchokoz umeanza li lkn Inna?Nam hofu yngu kwako ...naona umerud baada ya bibie kuja
Dodoma waheshimiwa wamekuja full bata mpaka siku za kazini wamekimbia joto la darShida ni nini mpenzi?
Hii ndio shida ya mabint waJina la nini tena? Wewe nipe maujanja ya kumnasa huyo autesae mtima wangu
Long time no see u lady. Mambo...Rabheka
Nimeshaket kwenye kiti letaMpo wapi?nachemsha kahawa jamani
Haha alipotea alikuja akachungulia tu lkn ulivyofika tu naye kajaUchokoz umeanza li lkn Inna?
Aisee Sasa....Watoto wapo wa kutosha, tunapambana na uhenga wetu tuu

Usije tu karibu na mm, labda nikuagize pa kuilegezea best yangu, jua vile nakulavuNisaidie kulegeza hii tai best, kweli itaniua
Asanteee njoo tutumieohoo! miss karibu sana
Unaijua kahawa weyeNimeshaket kwenye kiti leta
Ndiooooo!Kuhusu ule ubuyu au
Hao waheshimiw Unakutana nao maeneo yapi?Dodoma waheshimiwa wamekuja full bata mpaka siku za kazini wamekimbia joto la dar
Sawa,naosha vikombe,kashata unatumia?Nimeshaket kwenye kiti leta
We ni muumini wa nabii Tito si bure![]()
Napitampaka club 7
Haha alipotea alikuja akachungulia tu lkn ulivyofika tu naye kaja
Utanielekezaje wakati moyo wangu ushajielekeza wenyewe?Usije tu karibu na mm, labda nikuagize pa kuilegezea best yangu, jua vile nakulavu
Naona mumeitanLuna kitu alisahau kufanya nilimuitaia Mara moja
Miafrika ndivyo tulivyo, we nishauri tuHii ndio shida ya mabint wa
kiBongo angekuwa mzungu amesha mwaga mchele