dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Unaweza oa napo usipate usingizi jje's msaidie kijanaNi kweli kbs .
Dawa yake kuoa
Unaweza oa napo usipate usingizi jje's msaidie kijanaNi kweli kbs .
Dawa yake kuoa
wadau wote hawa mkuu?Huu uzi unakua shida sana bila partner.. Ngoja nile kwa macho
hahaha na majukumu pia
Hayo maneno jamani yapo hata kwenye t shirt.Haaa mziki nilio nao unanitosha
Sins hats hamu ya kujaribu pengine
He knows everything
Asante kwa kunifariji mkuu.. Unafaa kua dakitariwadau wote hawa mkuu?
usihofu hakuna ubaguzi humu
hahahahah shukrani mkuu..Asante kwa kunifariji mkuu.. Unafaa kua dakitari
Hahaha anazunguuuka sana ili kukufarijiHayo maneno jamani yapo hata kwenye t shirt.
Wewe kama unanibania sema nakubania ila usinipe stori
Hayo maneno jamani yapo hata kwenye t shirt.
Wewe kama unanibania sema nakubania ila usinipe stori
ohooo basi na mimi ngoja nikimbie kabla yako tenaHaswaa hats mm naona jukumu Moja bado linanisubir
Soon nawaacha
Nani atafunga get tI?ohooo basi na mimi ngoja nikimbie kabla yako tena
Asante Nina ubuyu wa code Leo unapendaNafurah kukuona ulingoni
Acha waondoke tutafunga usijaliNani atafunga get tI?

Usiku mwemaNimsaidieje
Funguka shem
Mkuu mbona mimi partner sina na naenda nao sawa tu, humu watu wana roho nzuri sana wako Social na kila mtu. Tuna kitu kimoja tu kinachotuunganisha UPENDO. Huu Uzi na uishi milele.Huu uzi unakua shida sana bila partner.. Ngoja nile kwa macho
Amelala hapa Leo amechokaMtumishi Inna simuoni hapa au yuko na shughuli maalumu