It was expected......Wasafi walikuwa wanaitest Mamalaka inayojifanya nafiki nafiki......sasa Wasafi wamejua Ubaya sio Lissu bali.......
 
Leo tarehe 07 Februari 2024 Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Tundu Lissu alipata mwaliko wa kufanya mahojiano maalum na kituo cha Luninga cha Wasafi Tv katika kupindi cha Good Morning kinachoanza saa 11 alfajiri mpaka saa mbili asubuhi. Jana usiku moja ya watangazaji wa kipindi hicho alimpigia Mhe. Lissu na kumjuza kuwa mahojiano hayo yameahirishwa kutokana na maelekezo kutoka juu.

Aidha, asubuhi ya leo Mhe. Tundu Lissu amefika Wasafi Tv kujua sababu za kuahirishwa kwa mahojiano hayo. Tunaendelea kufuatilia kinachoendelea muda huu katika ofisi za Wasafi Tv.

 
Star tv nawaaminia sana

Heche anaalikwa hadi anakataa mwenyewe dadeki πŸ˜‚
 
Katiba mpaya wakati katiba ya cdm ina mwenyekiti wa Milele
Si wameweka hayo kwenye Barua yao. Eti Wametushitaki U.N 🀯 πŸ˜‚.

Nasikia kagoma kuondoka huko mpaka kieleweke.

Kaamua kufanya Uvamizi wake. C'mon
 
Ona akili yake ilivyo mbaya. Kwani ni nguvu kuhojiwa? Wamebadilisha offer kukuhoji ukitaka dai muda na nauli kuja studio kuleta fujo. Yes kuleta fujo maana walikupigia simu kwamba mahojiano hayatakuepoπŸ€£πŸ˜‚
 


Mpaka kieleweke
 
Kwani si afungue redio yake chama kinapokea ruzuku si mfungue yenu alale hapo hapo wala hatojibiwa!
 
Reactions: Tui
Wasafi wameepuka Nuksi πŸ’

Bwahaaaa, bwahaaaaa, nimecheka kwa nguvu kinoma. Juzi Kinana kajiachia dhidi ya cdm, na muhalifu Makonda huko aliko Yuko kwenye ziara zinazofadhiliwa na serekali akifanya maigizo, leo mtu mmoja tu kutaka kuongea kwenye media, simu zimetoka Kila mahali kuzuia Lisu kuongea. Hayo ndio madhara ya kukaa madarakani kwa shuruti, akitokea uliyempora ushindi wake atake kuongea na umma inakuwa hekaheka.
 
Hivi huyo Tundu Lissu angehojiwa hapo Wasafi Radio ndiyo maana yake usalama wa nchi ungekuwa hatarini??

Huo woga wa kupitiliza kwa chama cha Chadema, ndiyo utakaokiangamiza chama hiko cha CCM!πŸ™†
 
wamejifunza kwaTaifa STarz kule Abidjan πŸ’

Kinyonge sana. Hapa nilipo ni kama nakuona vile. Mafuriko fake hayawapi nguvu tena ya wengine kusikilizwa? Tena uzuri hayo mazungumzo tayari cdm wana kashfa ya kula 2.7b walizopewa kwa hisani ya ccm, ndio ilikuwa sehemu ya cdm kuaibika kwa Lisu kushindwa kujibu. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…