wapo wengi tu ila wadogo sana wana wazazi wao
Nadhani wazazi au walezi kwenda na watoto wadogo kwenye mkusanyiko mkubwa kama huu ni kukosa busara.Watoto wangeweza kuachwa nyumbani waangalie through TV.Kwa hali hii ya COVID 19 hata watu wazima wangeshauriwa wengine wabaki nyumbani waangalie through TV ili kuepusha matatizo yasiyo na ulazima.
 
Sio wote wanaokwenda msibani wanampenda mwendazake wengine wanaenda kuakikisha kama kweli adui yao kaenda, na usione watu wanalia msibani ukafikiri wote wanauzuni wengine wanalia kwa furaha,

Nb: wabongo wengi hawana kazi za kufanya kwaiyo usishangae kuja uwanjani!!
Bure kabisa
 
Jamani uwanja wa Uhuru askari wamezidiwa hali ni mbaya sana. Naandika mpaka natetemeka mimi nipo nje watu ni wengi sana na wamezuliwa kuingia na wanatumia nguvu kutaka kuingia nasikia uko ndani watu wameanza kukanyagana.

Naomba Sirro ufanye maamuzi watu wapo emotional lolote baya linaweza tokea. Ongeza timu ya usalama na watumie busara kuwasaidia watu utaratibu maana ni kama wamepaniki idadi ya watu imekuwa kubwa na wanaendelea kumiminika.

Duh JPM watu walikupenda
Huu no unywanywa
 
Nadhani wazazi au walezi kwenda na watoto wadogo kwenye mkusanyiko mkubwa kama huu ni kukosa busara.Watoto wangeweza kuachwa nyumbani waangalie through TV.Kwa hali hii ya COVID 19 hata watu wazima wangeshauriwa wengine wabaki nyumbani waangalie through TV ili kuepusha matatizo yasiyo na ulazima.
Acha tukamuage baba yetu, mengine muachieni Mungu lolote ataloamua tutapokea.
 
  • Thanks
Reactions: NFL
Kapicha jamani
hapa ni nje
Screenshot_20210321-111200_Instagram.jpg
 
Wasiompenda JPM ni less than 10% ya watanzania, na wengi ni wale Wa kada za viongozi au wale mafisadi na wale wanaotaka madaraka.

Normal Tanzanians wanampenda JPM sana. Ukweli utadhihirika kipindi hiki cha kumuaga.
Hii umepima kwa utafiti wa watu wanaoenda kuaga au?
 
Back
Top Bottom