Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ulipwaji wa mishahara kwa mwaka katika ligi 5 bora barani Ulaya. Chelsea ya 6

1. PSG – £348.1million
2. Barcelona – £285.6million
3. Real Madrid – £250.3million
4. Bayern Munich – £237.6million
5. Manchester United – £223million
6. Chelsea – £169.7million
7. Manchester City – £163.1million
8. Juventus – £143million
9. Atletico Madrid – £142.5million
10. Liverpool – £141.8million
11. Internazionale – £113.6million
12. Tottenham – £101.3million
13. Arsenal – £85.5million
14. Borussia Dortmund – £85.2million
15. Roma – £82million
16. Leicester City – £78.8million
17. Sevilla – £77.6million
18. Aston Villa – £75.2million
19. RB Leipzig – £73.6million
20. Villarreal – £73.2million
 
Maybe project ndio inaanzia kwake,

Kumuajiri Potter sasa na utegemee mafanikio ya 1 season ni kujipiga silaha mguuni, if anamtaka Graham Potter tutegemee huenda ikawa project wameiona kwake kwa vijana waliopo kutoka academy + seniour squad
Comments zako tangu kwa Tuchel mpaka kwa Potter hujawahi kuwa kigeugeu unaona mbali
 
Chukueni makocha wenye CV ya vikombe , sio mnaokota okota tuu sjui Graham ,hv kweli huyo kocha mnaempigia chapuo anaweza kuweka ushindani Kwa experienced managers kama pep, konte , klop , na Yule wa man u, hata top 4 , kama ni hvyo hata top4 Nina was was
Unajua boli
 
Huko nyuma tatizo alikuwa ni mmiliki, Abramovich alitaka matokeo yaharaka harak. Ila Boehly naona ana maono tofauti. Anataka matokeo ya haraka lakini pia ana vision ya wazi kabisa ya kuwadevelop wachezaji sahihi wa baadaye pia
Ya kweli haya mkuu
 
Graham Potter will be appointed as new Chelsea manager, as expected. Agreement in place, contracts now being prepared as proposal has been accepted. Here we go. #CFC

Chelsea will complete the agreement with Brighton in the next hours.
Kawafikisha kunako sasa
 
Sasa hivi Chelsea kufungwa sio tatizo bali tatizo ni lini atafukuzwa
Watuwekee hata jiwe kubwa pale darajani na watuambie huyu ndie kocha wa Chelsea lakini sio Graham Potter
View attachment 2573876
Luis Enrique

Di zerbi

Hawa makocha msiwapate mtatusumbua

Hao wengine akiwepo na Conte muongezeni wachukueni

EPL wakiongezeka wanaocheza total football itakuwa ngumu zaidi

Inabidi wengine mcheze fujo Kama manjesta
 
339490892_6112849715494806_1570036586106054400_n.jpg
 
Imetusaidia ndio lakini angalia tunavyo struggle sasa hivi. Kwa nini tusijenge timu ya kudumu misimu mi 5+ mfano angalia project ya Real Madrid wana employ madogo mostly under 22 wengi just imagine 3-4 years to come itakua timu ya namna gani.

Kupitia Potter tutengeneze na sisi timu ya aina hii tunaweza kudominate na kuwa timu hatari na sio timu ya kujibrag kwa vi Arsenyeto na nyumbu
Tuna imani na Chuck Norris
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom