Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Sisi kama binadamu mwezie huruma imetushika Kwa yule kimbaombao wenu.Tumemfukuza sisi nyie wapinzani kwanini roho iwaume
Sisi kama binadamu mwezie huruma imetushika Kwa yule kimbaombao wenu.Tumemfukuza sisi nyie wapinzani kwanini roho iwaume
Nahisi huenda kukawa na shida nyingine kubwa tofauti na hii,Main reason ni kupoteza dress room ndio imefanya club imfukuze
Kea main yako kwa soka lake anafaa kufundisha team kama chelseafcGraham Potter has been given permission by Brighton to speak to Chelsea and is reportedly set to travel to London to speak about their vacant head coach position (Sky)
Achana na 'nge' haisaidii kwenye maendeleo mkuuNa angekosa ungesema ni mbinafsi
Chelsea kushuka daraja haitakua mara ya kwanza.Asernal ndio mna akili.zipi hizo
Mlikaa miaka 13 bila Kombe hadi Leo hamna Hilo kombe.
Manshinda vikombe vya kahawa.
Alipiga hirizi yule mzee hadi alipoamua kusepa mwenyewe.
Sisi tumefanikiwa kwa hii staili yetu msiige kunya kwa tembo mtapasuka msambaa
Mmekaa hapo juu vimechi vichache mnapandishs mabega.
Ngoja mziki uanze kukuolea mtaeelewa kuwa nyie ni fungu la kukosa tu.
Au mlitaka mtuone tukishuka daraja ndio mfurahie
Shwaini
Sisi ndio Chelsea mtaka msitake sisi dhima yetu ni kunyanyua makombe sio kucheza Europa.
Kwendraa
Hakuna Muda, kashakosa mawasiliano na wachezaji. Unaweza kuona Hilo kwenye uchezajiHii taarifa imeiuma Sana yani, Nakubali Sana TT binafsi , naona ni suala la Muda pamoja na wachezaji ambao wana viwango vibovu na hawastahili kuvaa jezi ya Chelsea.
DOF wa Nini tumemaliza usajili. Sehemu iliyobaki ni ya kocha kuleta matokeo kashindwa. Wache aende tuingie kwenye ukurasa mpya. Wasikosee tu kumleta kocha wa hovyo tukaanza kumkumbika TTKosa jingine boehly-clearlake wanafanya, huwez kufukuza kocha whilehuna DOF,
Kulikuwa na lengo gani la kuspend 250M kwenye transfer uje umfukuze kocha siku 6 zijazo baada ya dirisha kufungwa.Vipi kuhus usajili wa Auba ambae amekuja coz ya hitaji lq kocha??
Kuna vitu huenda tutakuwa atuvijui nyuma ya pazia,
If ni dressing room kupoteza, hii shida itaendelea kutafuna makocha wengi mpk hapo uongozi utakapoacha kuwaskiliza wachezaj,
Hii itaendelea kutokea hata aje nani
Tumefukuza kocha bila kuwa na plan ya nani atakaemrith
Kocha gani mzuri ambae yuko free kwa sasa?
Enrique n Flick hawawezi acha majukum yao ya tim za taifa kwa sasa isitoshe world cup ipo karibu,
Pochetino hapana,
Zidane????
Graham Potter ni kocha mzuri ila nikocha anaehitaji mda na project inayoeleweka.
No Coach
No DOF
Circus continue.............
Potter ni mzuri kwa team itakayompa mda + project ila linapokuja swala la team kubwa huwa tofauti.Kea main yako kwa soka lake anafaa kufundisha team kama chelseafc
Unaongea vitu visivyoendana kabisa na uhalisia. Hatukuspend Kwa ajili ya kocha ni Kwa ajili ya timu awe ni chini ya TT au mwingine.Kosa jingine boehly-clearlake wanafanya, huwez kufukuza kocha whilehuna DOF,
Kulikuwa na lengo gani la kuspend 250M kwenye transfer uje umfukuze kocha siku 6 zijazo baada ya dirisha kufungwa.Vipi kuhus usajili wa Auba ambae amekuja coz ya hitaji lq kocha??
Kuna vitu huenda tutakuwa atuvijui nyuma ya pazia,
If ni dressing room kupoteza, hii shida itaendelea kutafuna makocha wengi mpk hapo uongozi utakapoacha kuwaskiliza wachezaj,
Hii itaendelea kutokea hata aje nani
Tumefukuza kocha bila kuwa na plan ya nani atakaemrith
Kocha gani mzuri ambae yuko free kwa sasa?
Enrique n Flick hawawezi acha majukum yao ya tim za taifa kwa sasa isitoshe world cup ipo karibu,
Pochetino hapana,
Zidane????
Graham Potter ni kocha mzuri ila nikocha anaehitaji mda na project inayoeleweka.
No Coach
No DOF
Circus continue.............
Naomba Chelsea fans tujadili kocha yupi wewe unaona anatufaa kwa wakati Huu na kwasababu gani? For me Naona ni erique au mauricio pochettino tunahitaji kocha ambaye cv yake imeshiba ambaye kashafundisha team kubwa kwangu Naona kwa malengo ya club kocha wa Brighton hatufahi kwasababu zipi? Hajawahi kuhadle pressure ya team kubwa, Pili Chelsea sio team ya project, tatu atawaongoza vipi wachezaji ambao Wana mafanikio zaidi yake
Kiingereza hichi cha mchongo ndo cha skysports kweli?Breaking news!
OLE GUNAR SOLSKJAER is admire chelsea job
(Sky sport)
Kwa nini tuliuza Lukaku,Werner kama sio kwa ajili ya tuchel n why tulimleta auba wakat tulikuwa na lukakuUnaongea vitu visivyoendana kabisa na uhalisia. Hatukuspend Kwa ajili ya kocha ni Kwa ajili ya timu awe ni chini ya TT au mwingine.