Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Graham Potter kwa falsafa yake ya uchezaji pamoja na wachezaji anao wakuta atafanya jambo kubwa.
Ni kweli moja ya jambo kubwa ni amehakikisha tupo kileleni mwa msimamo wa ligi kuu
20230402_081833.jpg
 
Potter ni project tumpe muda
Hayo maoni ni sahihi kabisa ila kosa moja tu matokeo ya baadaye hayana nafasi kwenye soka, mashabiki wengi tunajali yanayotokea sasa. Na pia matokeo ya sasa ni ufunguo wa kujua matokeo ya baadaye
Kama Potter anafanya hivi sasa, hiyo miaka mitano ya baadaye wachezaji wazuri wote watakuwa wamesepa na waliobaki watakua na Potter kwenye League two wakipambania kupanda Championship. Huku maneno ya Potter yakiwa ni yale yale "The boys gave it everything"
 
Vilabu vya EPL na mishara wanayowalipa wachezaji wao, Chelsea ya pili na utumbo ule wote wanaoonyesha wachezaji
Angalia Brighton na Brentford!!

1. Manchester United – £222,984,000
2. Chelsea – £169,720,000
3. Manchester City – £163,060,000
4. Liverpool – £141,782,000
5. Tottenham – £101,344,000
6. Arsenal – £85,490,000
7. Leicester City – 78,780,000
8. Aston Villa – £75,232,000
9. West Ham – £70,160,000
10. Newcastle United – £62,610,000
11. Crystal Palace – £59,180,000
12. Everton – £43,120,000
13. Wolves – £38,310,000
14. Fulham – £37,610,000
15. Southampton – £35,380,000
16. Bournemouth – £32,044,000
17. Nottingham Forest – £28,590,000
18. Brighton – £28,340,000
19. Leeds United – £17,300,000
20. Brentford – £15,240,000
Shida ya team yetu sasa sio wachezaj bali ni kocha, kocha anamiez 6 sasa ila cha ajabu hakuna improvement yoyote ile iliyoonekana tangu aje, yani ukitoa 10 pts tulizopata wakat wa Tuchel sahiv tungekuwa tuko kwenye relegation battle.
 
Luis Enrique

Di zerbi

Hawa makocha msiwapate mtatusumbua

Hao wengine akiwepo na Conte muongezeni wachukueni

EPL wakiongezeka wanaocheza total football itakuwa ngumu zaidi

Inabidi wengine mcheze fujo Kama manjesta
Ningependelea hawa
Luis Enrique
Roger Schimdst wa Benfica
Ruben Amorin
De Zerbi kama mtu wa mwisho

Julian Naglesman
 
Shida ya team yetu sasa sio wachezaj bali ni kocha, kocha anamiez 6 sasa ila cha ajabu hakuna improvement yoyote ile iliyoonekana tangu aje, yani ukitoa 10 pts tulizopata wakat wa Tuchel sahiv tungekuwa tuko kwenye relegation battle.
Ngoja nikuulize, hivi huyu huyu Potter tunayemponda, mbona alikuwa nafanya vizuri na Brighton? wengine wakasema alikuwa natembelea mwamvuli wa wachezaji bora. Sasa kama wachezaji wetu ni bora kwa nini Potter asiendelee kutembelea mwamvuli wa wachezaji bora?
Lampard na ubovu wake alitembelea mwamvuli wa wachezaji bora Chelsea ikamaliza top 4
Kwa nini Potter yeye asitembelee huo mwamvuli wa wachezaji bora wa Chelsea timu ikafanya vizuri zaidi ya hapa ilipo?
 
Nafikiri Todd anasubiri hiyo mechi ya Chelsea na Real Madrid ya tarehe 18 Aprili ili afanye mageuzi ya misimamo yake
Wakati huo Chelsea atakuwa hana chake UCL na kwenye ligi itakuwa nafasi ya 12
Chelsea ana game 10 zilizobakia ambazo akishinda zote atakuwa na point 68 hapo atakuwa na uwezo wa kucheza walau UEFA ndogo, vinginevyo naiona chelsea ikimalza point 47 ambazo hatashiriki mashindano yoyote mwakani labda ashinde UEFA kitu ambacho ni ndoto ya mchana ya chizi.
 
Brenda Rodger end of project with Leicester city
Anaiacha timu ikiwa ya 19 kwa msimamo wa leo wa ligi
Na sisi tungekuwa ile nafasi ya 19 tungekuwa na uhakika wa kuyu mpuuzi kutimuliwa

atakayefuata kufukuzwa ni ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom