Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Nimeshtushwa na habari za kukatana miguu tena jamani๐๐๐Liverkuku ๐๐๐๐๐
Ujue Klopp tunamuona fala ila Kumbe ashapiga hesabu za Mbele.
Anaogopa akitumia hela kusajili sana ,halafu tufeli..Yangemkuta kama ya Tuchel na wale nyumbu wanaobadilisha makocha utadhani wanachagua nguo za mtumba.

