Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Unajua TT ilikuwa lazima aondoke tu maana matajiri nao wana falsafa yao pia kila mtawala ana watu wakeSaint Anne Mashabiki wenzangu wengi wa Chelsea hakuna wanalojua kuhusu mpira wao wanataka ushindi tu. Mpira ni mbinu ukizidiwa unapigwa kweli kweli kama mlivyopigwa jana na Napoli[emoji1787][emoji1787]