Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Good morning league leaders

We are on top of it
20230402_061722.jpg
 
Kwa kweli potter ni janga kwa Chelsea utamchezeshaje cucurella kua beki wakati( cb) wakati una badiashile, ulie mununua bei gari, mpaka afukuzwe huyu jama ndo tupate raha ya mpira kwa kweli mashabiki wa blues tunaumia na maamuzi wa huyu jamaa.
 
Huu mzigo unaondoka lini? maana tumeshauchoka 😳 😳


graham-potter-chelsea-jan23.jpg
 
Todd Boehly kaendelea kushikilia msimamo wake pamoja ya bodi kumtaa Potter
kaishiwa mbinu, ile back 3 ya jana ilikuwa ugoro tupu - yule cocubela lini akacheza back 3 system - afu mbele ubunifu ulikuwa hamna kabisa, watu wanaingia kwa box zaidi ya mara 15 kwa mchezo mzima afu mnashindwa kufunga goli.
 
Pongezi kwa GP baada ya kukaa kwa miezi miwili kwenye nafasi ya 10 hatimae tumetoka na sasa tupo nafasi ya 11 haya mabadiliko ambayo kila shabiki wa Chelsea alikua anayataka
20230402_084542.jpg
 
Kwa kweli potter ni janga kwa Chelsea utamchezeshaje cucurella kua beki wakati( cb) wakati una badiashile, ulie mununua bei gari, mpaka afukuzwe huyu jama ndo tupate raha ya mpira kwa kweli mashabiki wa blues tunaumia na maamuzi wa huyu jamaa.
Enzo alikuwa anatukanaga sana makocha akiwemo TT, kwa HP kawa mpoole kama vile amepigwa super glue kwenye ubongo.

Binadamu tuna unafki mwingi hatari .

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 

Team
PlWDLFAGDPtsLast 6
1Arsenal29233370274372
2Manchester City28204471264564
3Manchester United2615564135650
4Tottenham Hotspur28154952401249
5Newcastle United261211339192047
6Brighton and Hove Albion26127749341543
7Brentford28101354637943
8Liverpool27126948331542
9Aston Villa28125113739-241
10Fulham28116113939039
11Chelsea28108102930-138
12Crystal Palace2979132439-1530
13Wolverhampton Wanderers2977152342-1928
14Nottingham Forest2869132350-2727
15Bournemouth2876152755-2827
16Leeds United2868143648-1226
17Everton2868142240-1826
18Leicester City2874173949-1025
19West Ham United2666142434-1024
20Southampton
 
Watu mnapendaga sana kujifia mapema kabla ya siku zenu, unaachaje kufanya mambo mengine muhimu kimaisha na kuanza kuhangaika na timu inayofanya mazoezi badala ya kucheza mpira?

Leo nilikuwa nacheza drafti, nikamaliza nikala zangu kipochi manyoya, sasa hivi naangalia Al Ahaly vs Al Hilaly nikishushia maji taratiiibu hapa Club X

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wanaoendekeza haya ni hao mashabiki uchwara wa UK, hata kama wamenunua tickets wakigoma mechi moja tu huyo fala anafukuzwa
 
Sasa hivi Chelsea kufungwa sio tatizo bali tatizo ni lini atafukuzwa
Watuwekee hata jiwe kubwa pale darajani na watuambie huyu ndie kocha wa Chelsea lakini sio Graham Potter
1680428476799.png
 
Katika body ya Chelsea anayeendelea kumtetea huyu mpuuzi ni Todd tu kwa sababu yeye ndie aliyempigania aje Chelsea
Bodi nasikia wote wanamtaka Julian Nagelsmann aje kumreplace lakini jamaa kaamua kuwa wale mabegwe wa kimarekani wasiokubali kushindwa na kujiona wao ndio wanajua zaidi. Kinachomzuia sasa Todd asikubali kuwa GP hafai ni personal pride
Kafanya usajili holela kwa makocha wawili na sasa karata zake zimevurugika hazichezeki tena

Chelsea ikitolewa UEFA, watakaofuata ni FFP ya EPL na ile ya UEFA na Chelsea haitakuwa na pa kutokea kwa sababu hasar itakayoikumba Chelsea lazima vitabu vya fedha vikae kushoto
 
Makocha 10 wanaolipwa ghali duniani, Graham Potter ni wa nne na utumbo wote huo anaoutoa
Potter anapita Tuchel, Anceloti huu ni uhalifu kwenye mpira

1. Diego Simeone – €34million
2. Pep Guardiola – €22million
3. Jurgen Klopp – €18million
4. Graham Potter – €13.5million
5. Massimiliano Allegri – €12.8million
6. Thomas Tuchel – €12million
7. Carlo Ancelotti – €11million
8. Simone Inzaghi – €10million
9. Jose Mourinho – €9million
10. Xabi Alonso – €5million
 
Vilabu vya EPL na mishara wanayowalipa wachezaji wao, Chelsea ya pili na utumbo ule wote wanaoonyesha wachezaji
Angalia Brighton na Brentford!!

1. Manchester United – £222,984,000
2. Chelsea – £169,720,000
3. Manchester City – £163,060,000
4. Liverpool – £141,782,000
5. Tottenham – £101,344,000
6. Arsenal – £85,490,000
7. Leicester City – 78,780,000
8. Aston Villa – £75,232,000
9. West Ham – £70,160,000
10. Newcastle United – £62,610,000
11. Crystal Palace – £59,180,000
12. Everton – £43,120,000
13. Wolves – £38,310,000
14. Fulham – £37,610,000
15. Southampton – £35,380,000
16. Bournemouth – £32,044,000
17. Nottingham Forest – £28,590,000
18. Brighton – £28,340,000
19. Leeds United – £17,300,000
20. Brentford – £15,240,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom