Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nawakilisha maoni ya wale mashabiki wa Chelsea waliovutiwa na hii project ya Todd na kusuport ajira ya Potter
Maoni yetu yalilenga kwenye apewe muda sio kumhukumu mwanzoni ila hatukusema apewe miaka mitano hapo ndiko kwenye consfusion.

Kwa hizi miezi sita aliyoongoza Chelsea, hata akishinda UEFA, huyu jamaa hafai kabisa kuwa Kocha wa Chelsea
  1. Hana mbinu za kuzuia, kutengeneza nafasi, kufunga
  2. Hana game plan na strategey za kushinda
  3. Hajui kupanga timu
  4. Hajui kufanya sub
  5. Hawezi kuwahamasisha wachezaji wacheze kwa kujitoa - mfano leo Newcastle dhidi ya Man U unawaona wanavyojitoa kindakindaki
  6. Anawatetea wachezaji sana hadi anaficha udhaifu wake na wa wachezaji so hakuna hata jitihada ya yeye au wachezaji kuimprove
  7. Ka kaa kaa kibwege zaidi kuliko kikocha
 
Huko nyuma nilikuwa siwaelewi watu wakimfananisha huyu jamaa anayejiita kocha wa Chelsea na Chuck Norris
Ila sasa kila nikimuangalia namuona Chuck Norris tu
1680460526649.png
 
Hahahahaha, huyu jamaa alipotelea wapi aisee?
Hapo ndio utampenda zaidi Potter, binafsi namkubali sana nisiwe mnafiki. Ile falsafa yake naipenda sana, timu lazima ipeleke moto haswa sio unacheza kama umelazimishwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom