Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kutwa kupita majukwaa ya wanaume mkiwa mmevaa khanga moja iliyolowana maji....pumbavvvv
 
Coach aliyeshinda big trophies [emoji471] za dunia kafukuzwa ndani ya season 2 na point alizokaa nimeamini kuna team zipo serious na achievements hawataki mchezo mchezo
e5e7aacc66a7432fbb494eba0d0cee51.jpg


Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Asernal ndio mna akili.zipi hizo

Mlikaa miaka 13 bila Kombe hadi Leo hamna Hilo kombe.

Manshinda vikombe vya kahawa.[emoji1]

Alipiga hirizi yule mzee hadi alipoamua kusepa mwenyewe.

Sisi tumefanikiwa kwa hii staili yetu msiige kunya kwa tembo mtapasuka msambaa

Mmekaa hapo juu vimechi vichache mnapandishs mabega.

Ngoja mziki uanze kukuolea mtaeelewa kuwa nyie ni fungu la kukosa tu.

Au mlitaka mtuone tukishuka daraja ndio mfurahie[emoji1787][emoji1787]

Shwaini

Sisi ndio Chelsea mtaka msitake sisi dhima yetu ni kunyanyua makombe sio kucheza Europa.

Kwendraa
Nyinyi mlikaa 50yrs kenge nyie
 
Kosa jingine boehly-clearlake wanafanya, huwez kufukuza kocha whilehuna DOF,
Kulikuwa na lengo gani la kuspend 250M kwenye transfer uje umfukuze kocha siku 6 zijazo baada ya dirisha kufungwa.Vipi kuhus usajili wa Auba ambae amekuja coz ya hitaji lq kocha??

Kuna vitu huenda tutakuwa atuvijui nyuma ya pazia,

If ni dressing room kupoteza, hii shida itaendelea kutafuna makocha wengi mpk hapo uongozi utakapoacha kuwaskiliza wachezaj,
Hii itaendelea kutokea hata aje nani

Tumefukuza kocha bila kuwa na plan ya nani atakaemrith

Kocha gani mzuri ambae yuko free kwa sasa?
Enrique n Flick hawawezi acha majukum yao ya tim za taifa kwa sasa isitoshe world cup ipo karibu,

Pochetino hapana,
Zidane????
Graham Potter ni kocha mzuri ila nikocha anaehitaji mda na project inayoeleweka.

No Coach
No DOF

Circus continue.............
Zoran maki
 
Kwa mechi ya jana kwa kocha bora ilikuwa kuwachezesha madogo e.g Chukwuemeka, Broja n.k + masenior wachache na timu ingepata matokeo.

Ila TT masikio mbawala hakuna kocha pale, anajidai ana mbinu kumbe ni feki feki, timu kufunga goli ni kubahatisha.

Timu inashindwa cha kufanya uwanjani wanaishia kupiga pass tuu hence ball possession laki 2.
Aje sasa kocha mwenye ujuzi wa kuintegrate wachezaji wachanga kwenye first team. Lampard alijitahidi ndio sasa tunaringa na akina james na mount
 
Pep vijana wake wanaenda HT wakiwa mbele kwa bao tatu...aila huko Dressing room aliwagombeza sana kuwa hajaona mpira waliocheza.
Wangekuwa hawa vijana wa Chelshit si wangetamani kujinyonga kabisa.
Hakuna kitu kama hicho wacha uongo
 
Potter ni mzuri kwa team itakayompa mda + project ila linapokuja swala la team kubwa huwa tofauti.

David Moyes wakat yuko Everton alikuwa mzuri,baada ya kwenda Man Utd, hali ikawa tofauti.

If Boehly-Clearlake wanahitaj project n mda potter ni mzuri ila kama ni success za haraka namashaka n hilo
Huyo potter akifungwa mbili na droo Moja ,Kwa kheri atufugi matatizo apewe tu team ,sisi hatujawai kuwa na project.
 
Coach aliyeshinda big trophies [emoji471] za dunia kafukuzwa ndani ya season 2 na point alizokaa nimeamini kuna team zipo serious na achievements hawataki mchezo mchezoView attachment 2348906

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ndio sera ya Chelsea ilivyo kaka Carlo Ancelotti msimu wake wa kwanza kabeba ligi kuu ya epl na fa msimu unaofuata kashika nafasi ya pili kwenye ligi na kafukuzwa, Conte katoka kuchukua epl msimu unaofuata kabeba fa kafukuzwa akaambiwa tulitaka Uefa umeshindwa kutupa na pia umepoteza dress room, Di matteo kabeba Uefa na msimu huo huo kafukuzwa kaambiwa kweli umetusaidia kushinda taji Hilo kubwa lakini mpira wako haukutufurahisha
 
Huyo potter akifungwa mbili na droo Moja ,Kwa kheri atufugi matatizo apewe tu team ,sisi hatujawai kuwa na project.
Maybe project ndio inaanzia kwake,

Kumuajiri Potter sasa na utegemee mafanikio ya 1 season ni kujipiga silaha mguuni, if anamtaka Graham Potter tutegemee huenda ikawa project wameiona kwake kwa vijana waliopo kutoka academy + seniour squad
 
Ule uchezaji kipindi yupo TT inaonyesha kabisa kuna kitu nyuma ya pazia kilikuwa kinaendelea.

Potter ana falsafa nzuri sana ya uchezaji tofauti na TT. Haita chukua muda, mi naamini kwa TT kuna jambo wachezaji wamefanya. TT hakuwa na maelewano mazuri na wachezaji, na hicho ndio chanzo kikuu cha yeye kutimuliwa. Achana na propaganda zinazo endelea kuwa ametimuliwa kutokana na kipigo kutoka kwa GNK Dinamo.

Kama hupatani na wachezaji unadhani nini hatima yake.? Mwisho wa siku lazima utoke tu, wachezaji ndio wanaamua hatima yako wewe unashindwa kuelewana nao. Potter akifanikiwa kuja afanye mpango kwenye dirisha la Januari amchukue Alexis Mac Allister kutoka hapo Brighton.
Je tutakuwa na uvumiliv kwake pale matokeo.yakienda ndivyo sivyo??

Potter ni mzuri kwa tim inayotoa mda, labda tuwe tumebadilika kuanzia kwake
 
Maybe project ndio inaanzia kwake,

Kumuajiri Potter sasa na utegemee mafanikio ya 1 season ni kujipiga silaha mguuni, if anamtaka Graham Potter tutegemee huenda ikawa project wameiona kwake kwa vijana waliopo kutoka academy + seniour squad
Kuna team za project kama arsenal ,man u ,Barca ,Bayern sio Chelsea ,psg ,city hapa ukikosa chochote wanakutimua makocha wengi
 
Watu wanasahau kuwa sisi ni title contenders misimu yote hatupo pale EPL kuonyesha sura.

Ndio tunaspend bing kuleta wachezaji wazuri na tunalipa mshahara mzuri.

Manager yoyote wa Chelsea should know kwamba lazima a deliver hayupo pale ku enjoy club glory.

Ndio maana huwa tukiona mtu anatuzingua anasepa fasta.

Sisi sio asernal,sisi sio Liverpool (Hawa wakipata upepo tu ila Sasa wanarudi kwenye utamaduni wao waliozoea).

Ndio hata manure wametuiga akunaga mambo ya ufergeson zama hizi.

Ukishindwa ku deliver unaondoka instantly.

TT recently amekuwa the worst ever Chelsea inacheza bila malengo.

Timu inapiga pasi nyingii back ubweche tunafungwa kifala sana

Wakati club Ina wachezaji wazuri wa kaliba mbalimbali.

Anyway nashukuru kwa kutusaidia kupata UCL hadi wakati mwingine akituimpress.

Go approach kwa Boehly safi sana usicheke na kima.

Kwa miaka 19 aliokaa Abramovich mafanikio aliyopata ni kutoleta mazoea kwenye kazi na pesa.

Ukitumia pesa lazima upate matokeo otherwise ni hasara.

#KTBFFH.

Wewe nina uhakika umeijua Chelsea juzi tu ndiyomana ukayaandika haya! Yani Liverpool ilipata Upepo? Na unavyojidanganya kuwa Liverpool itapoteana?
Sasa subiri Januari uje hapa utoe ushuhuda Timu mbili za Juu zitakua ni zipi?
 
Kuna habar naona twitter zinasema tuchel alikuwa ashapoteza dressing room, due to kuzozana na wachezaj, na style ya uchezaji
Niliisemea muda mrefu hii tangu pre season wengi hapa tukapinga na kusema oh huu si wakati wa Abramovich wa kufukuza kocha tumpe muda ajenge timu. kama kocha unakosa mawasiliano na wachezaji dressing room utakuwa unatwanga maji kwenye kinu. No where to go. Sasa hivi wala sio Chelsea tu, timu zote zenye uwekezaji mkubwa hakuna timu kubwa inamvumilia kocha, utaua timu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom