John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Records can be broken still...No English manager has ever won epl, chelsea should know that
Records can be broken still...No English manager has ever won epl, chelsea should know that
Huko nyuma tatizo alikuwa ni mmiliki, Abramovich alitaka matokeo yaharaka harak. Ila Boehly naona ana maono tofauti. Anataka matokeo ya haraka lakini pia ana vision ya wazi kabisa ya kuwadevelop wachezaji sahihi wa baadaye piaImetusaidia ndio lakini angalia tunavyo struggle sasa hivi. Kwa nini tusijenge timu ya kudumu misimu mi 5+ mfano angalia project ya Real Madrid wana employ madogo mostly under 22 wengi just imagine 3-4 years to come itakua timu ya namna gani.
Kupitia Potter tutengeneze na sisi timu ya aina hii tunaweza kudominate na kuwa timu hatari na sio timu ya kujibrag kwa vi Arsenyeto na nyumbu
Tunataka kandanda murua kwa sasa, na wachezaji waadapt na falsafaya Potter. Hata tusipochukua kombe lolote ndani ya hii miaka 2 ijayo, naamini baada ya muda huo tutaanza kushindania EPL, UEFA n.k.Naaminirebuilding inaenda na matokeo mazuri
Uwekezaji wa wachezaji bora kiasi kile angalau tupate na matokeo mazuri hata kama sio sana, Top 4 nk
Pole mkuu ndio hivyo kubali realityAisee Nna masikitiko Tuchel kuondoka, napenda mafanikio pale darajani ila dah.! imeniuma sana mana jamaa namkubali mno.
Potter atakaa Sana ,Ni kocha mzuri mwenye mifumo mingi Sana ,Support Ya mmiliki ni pale hata mambo yanapoenda kombo mmiliki anakuwa na imani na kocha kuwa anaweza weka mambo sawa, last season arteta alikuwa na poor run ila kroenke bado akawa anaimani nae na project yake.
Kama wamiliki wanamipango ya mda mrefu potter atakaa, ila kama ni short term simuoni potter akikaa
unajikuta uaijua cfc kuzidi wengine punguza wengeUyo Potter tutakuja mkataa hapa hapa ..kocha Hana experience yeyote ya michuano mikubwa ..Leo unamkabidhi timu kama hii ..huu msimu naona tutapoteana zaidi
Wewe nani? Mvunja Kuni TU wewe eti unapinga maamuzi ya jopon la watu wenye akili timamuUyo Potter tutakuja mkataa hapa hapa ..kocha Hana experience yeyote ya michuano mikubwa ..Leo unamkabidhi timu kama hii ..huu msimu naona tutapoteana zaidi




Toa uchale wako huko




Hii timu ni ya wazembe wazembe tuTuchel hajafutwa kazi sababu ya matokeo mabovu anayo pata ama kipigo cha GNK Dinamo. Fuatilia mambo ujue, usiwe mzembe kiasi hicho.
Mwamba wewe mpira unaujua na hauna ushabiki maandazi hata mimi nilikuwa nashangaa inakuaje Lukaku,werner, Abraham, Giroud ni wabaya kwake lakini hao hao wanaperform kwenye team ya Taifa na wengine kwenye vilabu wanavyoenda.Na jambo lingine lilikuwa linaniuzi kwa TT nilipenda kuwachezesha wachezaji nje ya position yao hiv tangu lini Pulisic au odoi wakawa wing back? au Lotfus cheeck anasema position yake Bora ni no 6 hapa ndio nilimuona ana umchongo ndani yake loftus cheek alikuwa Bora akiwa anacheza no 10 na alifanya vizuri Sana chini ya sarri.Potter atakaa Sana ,Ni kocha mzuri mwenye mifumo mingi Sana ,
Moja ya makocha Bora Sana kwasasa ,
Ndio maana kapewa miaka mitano , inaonesha atavumiliwa mwanzoni, Ni kocha anayecheza mifumo ya kila Aina
Mjiandae tu Kuna wachezaji watapoteana , hasa nje ya back 3
Hasa wale wazee nje ya back 3 wataaibika , hata Thiago Silva , Ceaser Azp, Gorginho, nje ya back 3 wataumbuka
Namuona kwa asilimia kubwa Potter akitumia Zaid 3-4-3 ,ila yakwake huwa ina utofaut kwenye kushambulia hata kujilinda tofaut na ya Tuchel
Tuchel sikuwahi kuamini ni kocha mzuri kihivyo , nilisema Ni kocha wa tournaments TU,
HUYU ndiye kocha ambaye forwards karibu 6 zimefeli kwake , Ni mifumo gan hiyo inamkataa Abraham,lukaku,giroud ,Werner,broja, na hata Auba alikuwa anaenda kuwa flop chin yake
Msimu huu ndio alivurugwa kabisa
Tuombe iwe ivyo kweli.Huko nyuma tatizo alikuwa ni mmiliki, Abramovich alitaka matokeo yaharaka harak. Ila Boehly naona ana maono tofauti. Anataka matokeo ya haraka lakini pia ana vision ya wazi kabisa ya kuwadevelop wachezaji sahihi wa baadaye pia
Azp hata kwenye back 3 ya tuchel alikuwa ashaanza kupoteaPotter atakaa Sana ,Ni kocha mzuri mwenye mifumo mingi Sana ,
Moja ya makocha Bora Sana kwasasa ,
Ndio maana kapewa miaka mitano , inaonesha atavumiliwa mwanzoni, Ni kocha anayecheza mifumo ya kila Aina
Mjiandae tu Kuna wachezaji watapoteana , hasa nje ya back 3
Hasa wale wazee nje ya back 3 wataaibika , hata Thiago Silva , Ceaser Azp, Gorginho, nje ya back 3 wataumbuka
Namuona kwa asilimia kubwa Potter akitumia Zaid 3-4-3 ,ila yakwake huwa ina utofaut kwenye kushambulia hata kujilinda tofaut na ya Tuchel
Tuchel sikuwahi kuamini ni kocha mzuri kihivyo , nilisema Ni kocha wa tournaments TU,
HUYU ndiye kocha ambaye forwards karibu 6 zimefeli kwake , Ni mifumo gan hiyo inamkataa Abraham,lukaku,giroud ,Werner,broja, na hata Auba alikuwa anaenda kuwa flop chin yake
Msimu huu ndio alivurugwa kabisa

nikikikumbula game ya soton sijui hata kwa nini walimuongezea mkatabaHatari sana 😁Sio mbaya ila kashindwana na wachezaji, Kashapotea na kwa sasa anajaribu kuyaokota maji na kuyarudisha kwenye gunia
Umeongea kitu kikubwa sana yye yupo nangwanda sijaona anabiashana na watu wenye akili wanao jua mpiraWewe nani? Mvunja Kuni TU wewe eti unapinga maamuzi ya jopon la watu wenye akili timamuToa uchale wako huko
![]()
Hizo hela kwani zinatoka mfukoni kwakoNyie mataahira wa hire and fire, do you know how much you gonna pay for the sacking of TT?
TT and backroom staff 15m
Brighton 20m.
All figures in British Pound
Haya mawazo tunayo tu sisi masikini, kwani unafikiri Big boss hakuyawaza hayo kabla ya kufanya hayo maamuzi?Nyie mataahira wa hire and fire, do you know how much you gonna pay for the sacking of TT?
TT and backroom staff 15m
Brighton 20m.
All figures in British Pound
Kama unaona sio fair mchukueni awafundishe
Hizo hela kwani zinatoka mfukoni kwako