Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna team za project kama arsenal ,man u ,Barca ,Bayern sio Chelsea ,psg ,city hapa ukikosa chochote wanakutimua makocha wengi
So Graham Potter unahisi atatupa mafanikio ndani ya msim 1 au miwili???

Contract atakayosain ndio huenda ikatoa picha kamili tho unaweza sign contract ya mda mrefu na bado ukafukuzwa
 
Ulijitahidi sana kumtetea TT lakini nilikwambia hakuna tajiri atayekubali kumwaga pesa halafu timu ifanye vibaya
TT alishachemka kitambo tu hatimaye siku yake imewadia
Tulikuwa pamoja mkuu sasa hao wanaelewa nini maana ya uwekezaji mkubwa
Tunahitaji matokeo makubwa kwa haraka haraka ili tuendelee kudominate soko la TV, Matangazo mgao wa mapato uwanjani, kuuza brands nk. Hatutakiwi kuwa kama Arsenal au hizo midtable teams ambazo hata kama zikifanya vibaya haviumbi sana kama sisi
 
Now pressure kubwa itakuwa kwa boehly n kocha mpya atakaekuja, if akishindwa deliver watu wengi watamgeukia Boehly kama sababu ya kushindwa kumaintain ushindani/kuwin makombe

Mpk hapo ngoja tuone hali itakavyokuwa
 
Yeah tuchel nikocha nae mkubal + ukiangalia kwa sasa hakuna kocha mzuri aliyefree, wengi wanahitaj project ya mda mrefu na si wakukupa matokeo ya haraka haraka o gurantee ya kushinda knockout games
Juan mkuu wangu kuna sehemu mara nyingi unamake points ila kwenye suala la TT tangu mwanzo tulipohoji uhalali wake wa kuendelea kuwa Chelsea umekuwa ukipotea sana

Kocha mzuri ni subject na pochi, hata PEP tukimtaka tunambeba 100%
Hakuna kocha duniani ataikataa kuifundisha chelsea hata kama ni kwa siku moja why
  1. Anaajiriwa kwenye timu kubwa yenye mshiko wa kuwanunua wachezaji
  2. Anakuja kwenye timu iliyokwisha jenga jina na yeye brand yake itazidi kukua
  3. Anakujka kwenye timu yenyte structure nzuri na project nzuri
  4. Anakuja kwenye timu yenye wachezaji wanaoweza kuleta matokeo
  5. Anakuja kwenye yenye uwezo wa kumlipa mshahara mzuri kwa mkataba mzuri atapewa mkataba wa miaka mnne hata akifundisha siku mbili akafukuzwa yeye hana hasara. Kawahoji hao makocha wote waliofukuzwa, wamepewa haki zao na wameridhika.
  6. Kila kocha anajua kazi ya ukocha ni ya kuajiriwa na kufukuzwa
So kocha mzuri kuwa free au sio free sio subject hapa, Ukiondoa timu yenye kuwalipa makocha vizuri kama City, PSG, Bayern, Real Madrid, Barcelona na labda Man U, hizi timu zingine combined hata Liverpool, Arsenal, Atletico madrid, Inter, Spurs, nk tukitaka tunachomoa huko tu hakuna wa kuzuia. Subirini hizi siku chache za kutafuta kocha muone, na tajiri mwenyewe ni Boehly au mwingine. Pesa ipo shida na namna ya kutumia
Kumbuka pia kocha sio kama mchezaji eti useme kocha mzuri hawezi patikana dirisha dogo la januari. No. Kocha anapatikana wakati wowote, pochi tu ndio inaongea.
Nakumbuka 2010 MOU alipookuwa Inter tena kaipatia mafanikio makubwa, Real Madrid walipomtaka tu alichomoka mbio na kuiacha Inter. Mifano iko mingi
 
So Graham Potter unahisi atatupa mafanikio ndani ya msim 1 au miwili???

Contract atakayosain ndio huenda ikatoa picha kamili tho unaweza sign contract ya mda mrefu na bado ukafukuzwa
Ndg mafanikio ni relative term.
Kama unamaanisha EPL, UCL nk SIO

TT tungeendelea naye jahazi lilikuwa linazama. At leats tukimpata kocha atakayesababisha timu ibaki top 4 hiyo ni imediate goal ambvayo inaweka heshima darajani. Hizi zingine za kubeba makombe ni bonus.

Tungeendelea na TT tungeishia GP stage UCL, hata Europa tusingeenda
Tungeendelea na TT tungeishia midtable hata Uefa Conference tusingeiona
So Kocha anayekuja ni kusaidia timu ipite salama kwenye transition ya rebuilding aliyoianza Boehly
 
Chelsea’s new owners didn’t feel Tuchel was developing senior or younger players and players on the fringe felt disconnected, take Pulisic, Werner and Lukaku as examples.

The new owners are looking at a 5-10 year trajectory. (@David_Ornstein)
Nilisema hapa TT ameshindwa kuwadelevelop wachezaji, haiwezekani wachezaji wengi kwa mkupuo wakawa unhappy na wakawa wanataka kuikimbia Chelsea Wewe na wenzako mkatumia nguvu nyingi kumtetea TT, kwamba wanacreate chance nyingi halafu hawazitumii. Naona sasa umesoma namba. Players were demotivated under TT hakuwa na mahusiano mazuri nao
 
Ndg mafanikio ni relative term.
Kama unamaanisha EPL, UCL nk SIO

TT tungeendelea naye jahazi lilikuwa linazama. At leats tukimpata kocha atakayesababisha timu ibaki top 4 hiyo ni imediate goal ambvayo ianweka heshima darajani. Hizi zingine za kubeba makombe ni bonus.

Tungeendelea nna TT tungeishia GP stage UCL, hata Europa tusingeenda
Tungeendelea na TT tungeishia midtable hata Uefa Conference tusingeiona
So Kocha anayekuja ni kusaidia timu ipite salama kwenye transition ya rebuilding aliyoianza Boehly
Ngoja niweke akiba ya maneno maana umefanya conclusion kuhusu tuchel kamba angekosa kila kitu na huyo kocha ajae atawafikisha sehemu nzuri. Usajili ni gambling
 
Ndo naingia mtandaoni wadau, Jana niliangalia mechi ya Chelsea nikaona wachezaji wanavyocheza ni Kama wanao mgomo dhidi ya kocha. Kama ningekuwa ni TT ile Jana baada ya mechi ningetangaza kuachia ngazi.

Mungu mkubwa TT ameondolewa kwenye muda muafaka, naona timing imekuwa Kama ya Frank Lampard na ilikuwa muda muafaka...kwakweli Chelsea wanajua kuwaondoa makocha bila kuonesha Kama wameonewa...unapewa wachezaji unaowataka alafu unafungiwa virago.

Ni muda Tena kwa kocha mwingine kuleta furahaa.
 
Ngoja niweke akiba ya maneno maana umefanya conclusion kuhusu tuchel kamba angekosa kila kitu na huyo kocha ajae atawafikisha sehemu nzuri. Usajili ni gambling
Sio wa kocha, atakayekuja atashindwa tu endapo atarudia ujinga wa TT wa kuharibu hali ya hewa dressing room
Kama atafanikiwa kujenga connection kwenye dressing room, no way atafeli. Hata asipobeba kombe lakini ataifikisha timu kwenye position ambayo Chelsea inastahili
Kwenyte UCL tunatakiwa angalau kufika sio chini ya Nusu fainali
Kwenye ligi tunatakiwa angalau tufike top 4
 
Juan mkuu wangu kuna sehemu mara nyingi unamake points ila kwenye suala la TT tangu mwanzo tulipohoji uhalali wake wa kuendelea kuwa Chelsea umekuwa ukipotea sana

Kocha mzuri ni subject na pochi, hata PEP tukimtaka tunambeba 100%
Hakuna kocha duniani ataikataa kuifundisha chelsea hata kama ni kwa siku moja why
  1. Anaajiriwa kwenye timu kubwa yenye mshiko wa kuwanunua wachezaji
  2. Anakuja kwenye timu iliyokwisha jenga jina na yeye brand yake itazidi kukua
  3. Anakujka kwenye timu yenyte structure nzuri na project nzuri
  4. Anakuja kwenye timu yenye wachezaji wanaoweza kuleta matokeo
  5. Anakuja kwenye yenye uwezo wa kumlipa mshahara mzuri kwa mkataba mzuri atapewa mkataba wa miaka mnne hata akifundisha siku mbili akafukuzwa yeye hana hasara. Kawahoji hao makocha wote waliofukuzwa, wamepewa haki zao na wameridhika.
  6. Kila kocha anajua kazi ya ukocha ni ya kuajiriwa na kufukuzwa
So kocha mzuri kuwa free au sio free sio subject hapa, Ukiondoa timu yenye kuwalipa makocha vizuri kama City, PSG, Bayern, Real Madrid, Barcelona na labda Man U, hizi timu zingine combined hata Liverpool, Arsenal, Atletico madrid, Inter, Spurs, nk tukitaka tunachomoa huko tu hakuna wa kuzuia. Subirini hizi siku chache za kutafuta kocha muone, na tajiri mwenyewe ni Boehly au mwingine. Pesa ipo shida na namna ya kutumia
Kumbuka pia kocha sio kama mchezaji eti useme kocha mzuri hawezi patikana dirisha dogo la januari. No. Kocha anapatikana wakati wowote, pochi tu ndio inaongea.
Nakumbuka 2010 MOU alipookuwa Inter tena kaipatia mafanikio makubwa, Real Madrid walipomtaka tu alichomoka mbio na kuiacha Inter. Mifano iko mingi
Mkuu ndio unaweza pata kocha yoyote, Ndoto ya Roman siku zote ilikuwa ni kumpata Guardiola ila ilishindikana kwa sababu ya tabia ya kocha kutopewa mda + mamlaka hayapo,

Kuna makocha ili uwapate lazima uwape mamlaka ya kwenye tim,ndio maana hata issue ya pep na yaya toure fasta tu iliisha kwa toure kuondolewa kwenye tim.
 
Nahisi huenda kukawa na shida nyingine kubwa tofauti na hii,
Inawezekana tena sana na Boehly na wenzake walitaka kila kitu kiwe kipya, usajili wa wachezaji unaonyesha kabisa Boehly na wenzake wanataka nini. Nilishawahi kesema kuwa Boehly na wenzake wan maono na hayo maono wameielezera kupitia usajili. Short term vision na long term vision
Sasa kwa bahati mbaya Akina Petr Cech, Marina na President hawakufit kwenye hiyo plan na ndio sasa nafikiri na kocha pia ni mbegu ya akina Marina so hili la TT kufanya vibaya inawerzekana ni sababu ndogo tu ya kumuondoa
Wao wanataka kupanda mbegu mpya kwenye hili shamba walilonunua
Mbegu za zamani na wadudu wake wote wanafanyiwa furmigation kali
 
Naona sera za Boehly ni kutaka kutumia vijana wa academy ndio maana anamtaka Potter
Boehly anataka vyote viwili viende sawa, yaani Timu ifanye vizuri sasa na mafanikio yawe endelevu kupitia Academy na mimi namuunga mkono asilimia 100%. Mfano mzuri ni Barcelona, sas Gavi na Ansu Fati 18 na 19 na wamekuwa regular starter. Sisi tuna akina Ansu Fati na Gavi ila wanaplan kuonda kwa sababu TT hata hakuwa anajua kama wanaexists
Kimeniuma sana roho Billy kuondoka tena kwa style ile, kidogo tuwapoteze Broja na Levi Colwill bado wapo na wengine. TT angeamua kuwaingiza hata wawiliwawili kila msimu tungekuwa na bonge la timu na huo utaratibu ungewapa motisha academy wengine kujitahidi kufanya vizuri
 
Kwa nini tuliuza Lukaku,Werner kama sio kwa ajili ya tuchel n why tulimleta auba wakat tulikuwa na lukaku
Lengo lilikuwa nini kama hatukuspend kwa ajil ya tuchel???
Narudia kocha yuko leo na kesho, timu iko milele. hata kama kwa sehemu fatcor ilikuwa ni kocha lakini sustainably hatumuangalii kocha kwa sababu kocha ni wa short term kwenye soka la kisasa, kocha anayebakia muda mrefu kama haborongi. Auba kaja kwa ajili ya kocha lakini pia kwa ajili ya timu so factor kubwa hapa ya kusajili ni timu sio kocha. Factor ya kocha ilikuwa tu minor consideration
 
Mkuu ndio unaweza pata kocha yoyote, Ndoto ya Roman siku zote ilikuwa ni kumpata Guardiola ila ilishindikana kwa sababu ya tabia ya kocha kutopewa mda + mamlaka hayapo,

Kuna makocha ili uwapate lazima uwape mamlaka ya kwenye tim,ndio maana hata issue ya pep na yaya toure fasta tu iliisha kwa toure kuondolewa kwenye tim.
Time will tell, let wait and see
 
Baadhi ya sababu za tuchel kufukuzwa
Screenshot_20220907-194646_Twitter.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom