Graham Potter: “We have to accept the result and do better. We can't feel sorry for ourselves”. #CFC

“We have a fantastic game on Tuesday against Liverpool to put it right”, told BBC.
 
Tuache utani..

Mechi ya Leo nimepatwa hasira sana haijawahi kutokea kwa jinsi nilivyotazama game. Najuta hata kupoteza muda wangu kuangalia timu linacheza kama yamejoin upinde wa mvua. Yaani hakuna strategies zozote na kocha ka-relax tu. Hakuna anachofanya zaidi ya kuchezea hayo mandevu yake kama uchafu wa sumaku. Hivi huyo tajiri aliinunua Chelsea akiwa hajui status yake? Mbona anaangalia tu as if ugolo anayofanya potter unamkosha? Au ni BASHA wake?

Kwa ufundishaji huo Bora hata lampard sasa. Class za wachezaji ni kubwa ila the way wana-perform Bora hata TUKUYU FC..

RASMI: Nimeapa kutokufuatilia hii timu hadi pale nisikie hiyo ng'ombe imefukuzwa hapo. Hastahili hata kuwepo sayari ya tatu, akifukizwa Chelsea basi na mamlaka za kidunia zimpeleke kwenye vimondo akaishi huko
 
Chelsea mko wapi? Mbona siwaoni😆
IMG_20230401_223046_762.jpg

Chelsea are really in the bottom half of the Premier League 💀
 
Tuache utani..

Mechi ya Leo nimepatwa hasira sana haijawahi kutokea kwa jinsi nilivyotazama game. Najuta hata kupoteza muda wangu kuangalia timu linacheza kama yamejoin upinde wa mvua. Yaani hakuna strategies zozote na kocha ka-relax tu. Hakuna anachofanya zaidi ya kuchezea hayo mandevu yake kama uchafu wa sumaku. Hivi huyo tajiri aliinunua Chelsea akiwa hajui status yake? Mbona anaangalia tu as if ugolo anayofanya potter unamkosha? Au ni BASHA wake?

Kwa ufundishaji huo Bora hata lampard sasa. Class za wachezaji ni kubwa ila the way wana-perform Bora hata TUKUYU FC..

RASMI: Nimeapa kutokufuatilia hii timu hadi pale nisikie hiyo ng'ombe imefukuzwa hapo. Hastahili hata kuwepo sayari ya tatu, akifukizwa Chelsea basi na mamlaka za kidunia zimpeleke kwenye vimondo akaishi huko
Watu mnapendaga sana kujifia mapema kabla ya siku zenu, unaachaje kufanya mambo mengine muhimu kimaisha na kuanza kuhangaika na timu inayofanya mazoezi badala ya kucheza mpira?

Leo nilikuwa nacheza drafti, nikamaliza nikala zangu kipochi manyoya, sasa hivi naangalia Al Ahaly vs Al Hilaly nikishushia maji taratiiibu hapa Club X

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hapa hamna kocha, kocha anafanya team nzima ionekane kama genge la wahuni, kila wiki mabadiliko.

Tukipata kocha mzuri ndio silu tutawafaid wakina Mudryk,Enzo, na hata Felix ila kwa sasa kocha mwenye miez 6 mpka sasa hajaonyesha pattern yoyote ya kiuchezaj.

Yani against Villa unamchezesha Reece kama RCB ffs huku ukiwa na mabek njee

Huwez sema unatumia 600M kwenye usajil ili uumpe kocha mda ni upumbav wa hali ya juu.
Watu wanaospend hivyo no watu wanaotaka matokeo ya haraka na si habar za trust the process kwa mid table coach
 
Mlishaambiwa Chelsea ndo best project kwa sasa pale EPL halaf ww unabishabisha tu. Mitano tena kwa kocha wetu wa kutufikisha nchi ya ahadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani sisi mashabiki tunapiga kelele kila siku kuhusu Potter afukuzwe lakini Todd Boehly ndo kwanza kaziba masikio sijui ana malengo gani na hii timu
 
Mlishaambiwa Chelsea ndo best project kwa sasa pale EPL halaf ww unabishabisha tu. Mitano tena kwa kocha wetu wa kutufikisha nchi ya ahadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na project nzuri bila kuwa na kocha bora ni kazi bure, utaendelea kusajili ukiamin shida ni wachezaj kumbe shida iko kwa kocha na mbinu zake.

Miez 6 now, hakuna mabadiliko ya kiuchezaji
 
153 Reactions
Reply
Back
Top Bottom