Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,876
- 16,446
Baada Thomas Tapeli kuaga mashindano kocha linalofata lingine kufurushwa ni lile Kopo lenu (Klopp)Hawa wamejjchanganya sana kumfukuza TT aisee
Baada Thomas Tapeli kuaga mashindano kocha linalofata lingine kufurushwa ni lile Kopo lenu (Klopp)Hawa wamejjchanganya sana kumfukuza TT aisee
Kawaeleze Arsenal, too much analysis lead to too much paralysisCoach aliyeshinda big trophies [emoji471] za dunia kafukuzwa ndani ya season 2 na point alizokaa nimeamini kuna team zipo serious na achievements hawataki mchezo mchezoView attachment 2348906
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ndio kilichobaki hichi ngoja tuone hali itakavyokuwa .Time will tell, let wait and see
Nilishachangia hiyo ya nne hata mimi nilifikiri Boehly na wenzake wanataka kila kitu kipya ili waende na maoni mapya bila chawa na kunguni wa old regimeBaadhi ya sababu za tuchel kufukuzwaView attachment 2349174
TT hapo alikuwa bado ni kocha mzuri, mambo yaliharibika baada ya msimu kuisha June 2021 na hasa msimu uliopita june 2022
Kwani klopp ana miaka mingapi pale Liverpool, nyie mnaofukuza makocha mnawazidi nini Liverpool toka Klopp kaja? Acha kuongea pumba fala wewe.Kawaeleze Arsenal, too much analysis lead to too much paralysis
Sisi tunalijua hilo, ukimuacha kocha akae muda mrefu anaparalyse
Kumuajiri na kumfukuza kocha ndio siri mojawapo ya mafanikio
Wewe imagne Lampard angekuwepo Chelsea hadi leo! kwanza tusingebeba UCL na UEFA cup na Club World Cup
Asante kwa kuliona hilo
Umeongea point kubwa sanaBoehly anataka vyote viwili viende sawa, yaani Timu ifanye vizuri sasa na mafanikio yawe endelevu kupitia Academy na mimi namuunga mkono asilimia 100%. Mfano mzuri ni Barcelona, sas Gavi na Ansu Fati 18 na 19 na wamekuwa regular starter. Sisi tuna akina Ansu Fati na Gavi ila wanaplan kuonda kwa sababu TT hata hakuwa anajua kama wanaexists
Kimeniuma sana roho Billy kuondoka tena kwa style ile, kidogo tuwapoteze Broja na Levi Colwill bado wapo na wengine. TT angeamua kuwaingiza hata wawiliwawili kila msimu tungekuwa na bonge la timu na huo utaratibu ungewapa motisha academy wengine kujitahidi kufanya vizuri
Hata Nuno espirito Santo alikuwa anafanya vizuri Wolverhampton lakini akajinyea alivyoenda Spurs, usijipe hype sana[emoji1787]Graham Potter ni kocha wa ajabu sana, wachezaji wa chini kabisa lakini ana matokeo mazuri kuliko Man U, Chelsea wenye wachezaji wa bei mbaya
AsaniAli kipaumbele chao sio Trophy [emoji471] [emoji471] [emoji471]Coach aliyeshinda big trophies [emoji471] za dunia kafukuzwa ndani ya season 2 na point alizokaa nimeamini kuna team zipo serious na achievements hawataki mchezo mchezoView attachment 2348906
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Naona umempiga za uso alifikiri utamuunga mkonoBaada Thomas Tapeli kuaga mashindano linalofata lingine kufurushwa ni lile Kopo lenu (Klopp)
Naona huu uzi umevamiwa na mamluki [emoji57][emoji57]Angepiga na kukosa bado mngemlaumu vilevile kuwa ni mbinafsi,kwanini hakumpasia mwenzie akiyekuwa sehemu nzuri zaidi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Embu kila mmoja afuate mambo yake. Uzi wa Mbeya city huuoni? [emoji34]Huu uzi umeanza kuchekesha,
Kama wa Manure ulivyokuwa ukichekesha msimu uliopita.
Nitaweka kambi hapa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nitaungana na Tuchel kuhakikisha tunawachamba nyie Chelshit hadi mkonde🤣🤣Embu kila mmoja afuate mambo yake. Uzi wa Mbeya city huuoni? [emoji34]
Chelshit kama chama la Wana,Naona huu uzi umevamiwa na mamluki [emoji57][emoji57]
Kwani Klopp ameizid nini Chelsea zaidi ya EPL moja tu aliyobeba tangu ametua hapo liverkuku?Kwani klopp ana miaka mingapi pale Liverpool, nyie mnaofukuza makocha mnawazidi nini Liverpool toka Klopp kaja? Acha kuongea pumba fala wewe.
Waambie waaambie😃Kwani klopp ana miaka mingapi pale Liverpool, nyie mnaofukuza makocha mnawazidi nini Liverpool toka Klopp kaja? Acha kuongea pumba fala wewe.
Uyo kocha wa timu ndogo hafai ..hii timu inafaa makocha kaliba ya Conte, Ancelotti, Zidane hivi..Graham Potter ni kocha wa ajabu sana, wachezaji wa chini kabisa lakini ana matokeo mazuri kuliko Man U, Chelsea wenye wachezaji wa bei mbaya
Waambie waaambie.Mimi sijafurahishwa na TT kuondolewa mapema hivi. Kwanza timu imetoka kwenye matatizo, pili ndio tumemaliza usajili tu hivi punde. Je tunategemea timu ingeperform vizuri haraka hivyo? Mimi naona kabisa huu msimu tutapoteana Sana maana hata kocha atakayekuja atakuwa na puresha kubwa kwamba akizingua mechi Tatu au nne Hana kazi. Hata hii situation ya fukuza fukuza itawaaffect pia wachezaji. Huu msimu sioni kama tutafanya la maana.