hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,667
- 27,550
Upo sahihi, pale city tu bado alikuwa anakosakosa Sana, sema City wana create chances nyingi SanaSterling hawezi kufunga Kama timu haitengenezi nafasi ,na Chelsea sio timu ya kucreate chance after chance Tena ziwe big chance za one vs one na goalkeeper [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna game alifunga goli 3 ,lkn bado alikosa goli kibao, Pep akawa anamkaripia Sana