Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Niliongea humu mkanikebehi ,ila bila a proper CF mtatafutana humu

Combination za

Sterling Kai Mount

Sterling batshyuai Ziyech

Sterling broja Ziyech

Sterling Kai Ziyech

Hizzi combination Ngumu kutoboa

Sterling anahitaji chance after chance ili afunge ,lasivyo mtatafutana humu

Kwasasa Kuna uhaba wa CF , man u sio wajinga kumzuia cr7 asiondoke

Tuchel amemkataa cr7 ,unajiuliza anawaza nn
Nyie Arse88 ndio mmeshakua mafootball specialist, kw hiyo kushinda kwnye mechi za majaribio ndio mnajiona mmeshabeba ubingwa. Ligi ikianza ndio mtajua kama hizo combination zitafaa au hazifai.
 
Hahahaha

Binafsi kitendo cha tajiri kuingia sokoni kwenye usajili nilishangaa.

Tasnia ya Mpira ni kama familia moja.

Msimu mzima wakurugenzi wa vilabu, mawakala, wachezaji, scounting team na makocha wanakuwa kwenye mawasiliano kuhusu mambo ya sajili.

Dirisha linapofunguliwa ni kukamilisha deals mbali mbali.

Naimani hata Marina na Peter cech kabla ya vita ya ukraine, walikuwa wamesha- identify target zao sokoni na walikuwa wameshaanza kufanya mazungumzo mdogo mdogo na wadau mbali mbali.
You nailed the truth👍
Process ya usajili ni ya mwaka mzima na pia endelevu, kila msimu unaanzia pale ulipoishia msimu uliopita
Todd sasa yeye kaja akavuruga kila kitu halafu anaanza upya bila mwendelezo
Hana strategy wala tacticts wala tricks au hata kama anazo haziendani na ligi za ulaya labda kule Marekani
 
Niliongea humu mkanikebehi ,ila bila a proper CF mtatafutana humu

Combination za

Sterling Kai Mount

Sterling batshyuai Ziyech

Sterling broja Ziyech

Sterling Kai Ziyech

Hizzi combination Ngumu kutoboa

Sterling anahitaji chance after chance ili afunge ,lasivyo mtatafutana humu

Kwasasa Kuna uhaba wa CF , man u sio wajinga kumzuia cr7 asiondoke

Tuchel amemkataa cr7 ,unajiuliza anawaza nn
Upo sahihi ndugu
 
Msimu ujao lineup yetu ya uhakika

Timu A katika 3-4-3

--Mount ------- Batshuayi -------- Sterling---

Chilwell-----Kovacic ------ Kante ------James

------Colwill -------Silva ------- Koulibaly-----

------------------ Mendy------------------

Timu B katika 3-4-3

-----Pulisic ------- Broja-------- Ziyech-----

Emerson -----Jogninho ------ Conor ------Azpilicueta

------Sarr-------Koulibaly ------- Chalobah-----

------------------ Kepa------------------

Timu C katika 3-4-3

--Odoi ------- Havertz-------- Werner

Alonso -----Barkley ------Gilmour------RLC

------Babarahma -------Ampadu ------- Miazga-----

------------------ Marcus------------------
Udhaifu ulioko kwenye hizi line ups

Msimu ujao lineup yetu ya uhakika

Timu A katika 3-4-3

--Mount ------- Batshuayi **-------- Sterling---

Chilwell-----Kovacic ------ Kante ------James

------Colwill** -------Silva ------- Koulibaly-----

------------------ Mendy------------------

Hiyo hapo juu itahitaji wachezaji wengine kwenye alama ya nyota (The right players)
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

Timu B katika 3-4-3

-----Pulisic** ------- Broja-------- Ziyech-----

Emerson -----Jogninho ------ Conor ------Azpilicueta

------Sarr-------Mchezaji mpya** ------- Chalobah-----

------------------ Kepa------------------

Hiyo hapo juu itahitaji wachezaji wengine kwenye alama ya nyota (The right players)
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

Timu C katika 3-4-3

--Odoi ------- Havertz-------- Werner

Alonso -----Barkley** ------Gilmour------RLC

------Babarahma* -------Ampadu ------- Miazga*-----

------------------ Marcus------------------

Hiyo hapo juu itahitaji wachezaji wengine kwenye alama ya nyota (The right players)
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
 
Tofauti ya Conte na TT!
TT naona analalamika tu
Conte yeye aliwavurumisha matakataka na naona wakati wa Conte ndio matakataka mengi yalipelekwa kwenye mkopo

Conte yeye kama mchezaji hafai anamkataa na mkimlazimisha anaondoka

Saa nyingine kocha unatakiwa uwe na misimamo katili juu ya wachezaji wanaofaa kwenye mfumo wako sio kulalamika kwenye media. Waambie hao waajiri simtaki huyu, simtaki yule end of story
 
Conte ana roho Ngumu yule ,pale spursy Kuna Ndombele, regulon , na wengine Kama watatu hivi, hata preseason kawakataa kwenda nao ,kawachana watafute timu , kifupi hawataki
 
Nyie Arse88 ndio mmeshakua mafootball specialist, kw hiyo kushinda kwnye mechi za majaribio ndio mnajiona mmeshabeba ubingwa. Ligi ikianza ndio mtajua kama hizo combination zitafaa au hazifai.
Una wiki ngapi toka uanze kuwa shabiki wa hii timu dogo?View attachment 2304296
IMG-20220421-WA0058.jpg

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Chelsea haikufungwa na Arsenal 4-0 Kwa sababu ya defense mbovu Wala haikushinda Kufungua Kwa sababu ya forward mbovu. Sehemu kubwa ni approach ya game haikuwa serious. Waliichikulia Ile mechi kama mazoezi wakati wenzao wameichukulia kama fainali za UEFA, kidding

Agressiveness haikuwepo kabisa kuanzia nyuma katikati Hadi mbele. Hata kipa mwenyewe hakuwa serious na Ile game
 
Mbona Chelsea kimya kwenye usajili? Boehly nao a anafanya tafrija tu kama mswahili aliyeshinda bingo
 
Hapa itabidi turudi kabla dirisha halijafungwa, Todd aache kula Bata kule Florida arudi kazini. Mbona alisema ataendelea kumtumia Marina hadi dirisha lifungwe ndio aondoke?

Wewe hiyo sio kazi yako. Hakuna mtu anaweza kutoa euro billioni 4.25 halafu akaacha team imfie hiyo hela ni nyingi sana. Nna imani na jamaa anaelewa anachokifanya ameweza kusimama na dodgers nnamini na chelsea hatatuangusha
 
Jaribio la kuteka usajili wa Mukiele wafeli. Hii Sasa ni failure ya tatu Kwa Chelsea kwenye usajili msimu huu
 
Ila tukija kupatia, itakuwa hatari. Deadline ya usajili bado sana. Tutasajaili wale ambao hawasikiki, na watakuwa kama simba mbarara. Safari hii tutaingia chimbo hadi South America
 
Nasikia De Jong kakubali kupunguza mshahara wake ili tu abaki Barcelona
 
TT atoa sababu kwa nini Kounde hafai EPL

Reports in England stated that Tuchel still had concerns about Kounde in regards to his height and the ability to deal with the physicality of the English leagues.

According to The Guardian, Chelsea boss Thomas Tuchel has doubts about signing Sevilla defender Jules Kounde regarding his ability to prosper in the Premier League given his short height.

SISASA ZA MPIRA NI ZA KIPEKEE KABISA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom