Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea na sisi tumeamua kufanya hijack kwa PSG target
Nordi Mukiele
postion: right back and CB
Age 24
Club: RB Leipzig
Ili tumpate tunamtoa kafara Timo Werner arudi nyumbani kwake
 
Chelsea na sisi tumeamua kufanya hijack kwa PSG target
Nordi Mukiele
postion: right back and CB
Age 24
Club: RB Leipzig
Ili tumpate tunamtoa kafara Timo Werner arudi nyumbani kwake
Timo aende tu. Anaweza kuharibu atmosphere dressing room. Yeye analalamika hapati nafasi ya kucheza lakini akipewa haitumii vizuri, sasa anamlaumu TT kwasababu ipi? Baada ya Lamps kuondoka, TT aliwapa upendeleo wa hali ya juu sana yeye na Kai. Kama vipi, Aende tu.
 
Chelsea na sisi tumeamua kufanya hijack kwa PSG target
Nordi Mukiele
postion: right back and CB
Age 24
Club: RB Leipzig
Ili tumpate tunamtoa kafara Timo Werner arudi nyumbani kwake
M Hijack dili la nani cheltako nyie nyie mgombaniage wachezaji na timu kama torino,Fulham,mainz,lile ndo level zenu kwasasa.

mukiele uyo PSG
 
Timo aende tu. Anaweza kuharibu atmosphere dressing room. Yeye analalamika hapati nafasi ya kucheza lakini akipewa haitumii vizuri, sasa anamlaumu TT kwasababu ipi? Baada ya Lamps kuondoka, TT aliwapa upendeleo wa hali ya juu sana yeye na Kai. Kama vipi, Aende tu.
Maoni yangu: RB Leipzig watamkubali tu Werner endapo atakubali kushusha mshahara wake
 
Ligi ianze niwe busy kuchek games, huu upuuzi wa usajili unipitie kushoto.
 
Chelsea sasa wameelekeza hasira kwa PSG
Nako huko nasikia PSG atashinda hata kama Werner katolewa kama Swap deal
 
Inasikitisha almost players wote hawataki kuja kwenu why?Chelsea team kubwa but this season inashangaza
Wachezaji kila wakisikia jina la tajiri wa Chelsea TODDY BAHILI (BOEHLY) nafsi zao zinaingia wasiwasi kua watadhulumiwa mishahara yao, istoshe walivyosikia kua hata club yenyewe imenunuliwa kwa mkopo ndio kabisaaaaa wanapata uhakika kua boss ni dhulumati
Hawataki yawafike kama yanayomfika De jong Barcelona.
 
Na huyo kocha wenu masikio atakapoondoka ndio mtakapojua timu za mkiani zinaishi vipi..

We ushawahi kuona wapi boss mkuu akaenda kuomba kupunguziwa bei mnadani?😁
 
Makosa ya TODDY BOEHLY:-

1. Kumfukuza Marina na Peter cech ambao ni wazoefu kwenye soko la usajili (wanafahamu jinsi ya kudeal na mawakala, wachezaji na MaCEO wa vilabu)

Angewaacha wakamilishe hizo deal then baada ya dirisha kufungwa ndio angewapa mkono wa kwaheri.

2. Sawa umewafukuza Marina na Peter cech basi angeleta Mkurugenzi wa ufundi mapema ambaye ni mzoefu kwenye mpira, asimamie hizo deal za sajili.
Hiyo point ya kwanza niliwahi kuisema watu walinishambulia kwamba sijui kitu. Haya yameanza kujitokeza sasa

Wakati mwingine tunaongea uhalisia ila watu kwa emotions zao wanahisi ni chuki kumbe tumeshaona mbali
 
Nasikia tumeachana na mpango wa kumsajili Kounde, 😂😂 ah nimefurahi mno
Hamjaachana ,ila mmepokea kichapo kingine KUTOKA kwa Barca Kama kwa Raphina

Barcelona are now getting closer to Jules Koundé. Positive contacts also in the morning, personal terms are fully agreed with Koundé - working on final bid. 🚨🔵🔴 #FCB

Chelsea are tired of waiting for the green light - ready to explore other options if it doesn’t arrive soon. https://t.co/61eaBF8Cb7
 
Niliongea humu mkanikebehi ,ila bila a proper CF mtatafutana humu

Combination za

Sterling Kai Mount

Sterling batshyuai Ziyech

Sterling broja Ziyech

Sterling Kai Ziyech


Hizzi combination Ngumu kutoboa

Sterling anahitaji chance after chance ili afunge ,lasivyo mtatafutana humu

Kwasasa Kuna uhaba wa CF , man u sio wajinga kumzuia cr7 asiondoke

Tuchel amemkataa cr7 ,unajiuliza anawaza nn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom