Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

The club has new owners with inherited problems.

Manager has a squad full of players from three previous regimes.

Kukumbatia wachezaj ndio itakayotufanya tuendelee kuboronga, tuna quantity na si quality

Tunahitaj kufanya Rebuilding na ndio tumuhukum Tuchel na si kwatakata hizi zilizopo,

Hawa madogo wa Academy bado sana kusema kuwatagemea hawa katika zama hizi za City n Liver tutajikuta kila msim tunapigania top 4 na si ubingwa
 
Mateu Alemany ni balaa. Yaani ndio Barca watayarisha offer rasmi [emoji23][emoji23]. Wameshajua kiwango gani Chelsea wametoa na kwa utaratibu gani. Wao wamesema hawatatoa kiasi hicho cha Chelsea lakini watatoa kwa utaratibu mzuri.
Screenshot_20220724-193922_OneFootball.jpg
 
Chelsea fans baada ya Roman kuinunua walijulikana kama "plastic fans"! Sasa ili ujue kweli wengi walikuwa plastic fans ngoja uone hawa jamaa watakavyoirudisha nyuma shelshit na fans kuikimbia.

End of an era, до свидания Роман!
Waliofuata magoli wataondoka na tunawatakia safari njema huko waendako.
 
Mateu Alemany ni balaa. Yaani ndio Barca watayarisha offer rasmi [emoji23][emoji23]. Wameshajua kiwango gani Chelsea wametoa na kwa utaratibu gani. Wao wamesema hawatatoa kiasi hicho cha Chelsea lakini watatoa kwa utaratibu mzuri. View attachment 2302531
Tuache aende huko Barca anakotaka ila hili dili wala si mlaumu Kounde coz wenyewe tumezingua maana alikuwa tayari kuja chelsea tangu msimu uliopita

Tukamletea dharau kukimbilia kwa Ake ili hali yeye alikuwa tayari kuja acha tuendelee kupata shida kipindi hichi
 
Mateu Alemany ni balaa. Yaani ndio Barca watayarisha offer rasmi [emoji23][emoji23]. Wameshajua kiwango gani Chelsea wametoa na kwa utaratibu gani. Wao wamesema hawatatoa kiasi hicho cha Chelsea lakini watatoa kwa utaratibu mzuri. View attachment 2302531
Nimesoma sehemu kuna mwandishi wa The Gurdian anasema sio kama Kounde aliikataa Chelsea bali Sevilla na Chelsea hawakuafikiana kuhusu namna ya malipo, Chelsea walitaka kulipa kwa installment kitu ambacho Sevilla hawakuliafiki, Barcelona wakaja verbally kuahidi kulipa pesa yote mara moja hata kama itakuwa pungufu, Sevilla wako tayari kukubali
Taarifa zinadai zaidi kuwa Sevila wangeikataa ofa ya Chelsea automatically Chelsea wangekua nje ya mbio, kwa hiyo Sevila walichofanya ni kuhold ofa ya Chelsea ili kusubiri ofa ya Barcelona. ambao wameahidi watalipa yote.
Tunategemea Barcelona hawatamatch ofa ya Chelsea ila watalipa yote

Kama Chelsea watabadilika na kulipa yote kabla Barcelona hawajatoa ya kwao, Sevila wako tayari kusaini makaratasi na kukabidhi mchezaji Chelsea
 
Tutafute alternative nyingine, kounde tushamkosa tayari

Tulitumia mda mwingi kuafatilia dili la Ake n De ligt na na kumfanya Kounde awe kama option ya 3 ,
Hapa tujilaum wenyewe
 
Inasikitisha almost players wote hawataki kuja kwenu why?Chelsea team kubwa but this season inashangaza
Tuna bahati mbaya tu tumeingia choo cha jinsia nyingine. Hawa tunaowafuata tayari walishakufa kimapenzi na bwana mwingine. Scouting yetu ndio wametuangusha safari hii kwa sababu walitakiwa kujua kuwa Raphinha ndoto yake ni kwenda Barcelona

NI kama ilivyokuwa kwa Haaland, timu yeyote duniani isingeweza kumsajili kwa sababu Haaalnd sio tu shabiki wa timu baba yake aliichezea pia alikuwa na ndoto ya muda mrefu kuja kulipiza kisasi kwa Kene wa Man U kumjeruhi baba yake na kukatiza career yake ya mpira alipokuwa anaichezea Man City miaka ya 2000. So wachezaji kama Haaland scouting team wanatakiwa wamjue tangu mwanzo ili tusipoteze muda na pesa kumfukuzia mtu ambaye kashafanya maamuzi

Hata Raphinha and Co. wangekuja Chelsea wasingecheza kwa kujituma kwa sababu wasingekuwa Happy. Na haya matakataka mengine tunayosukumana nayo yawezekana nayo yana mapenzi na Barcelona au Real Madrid.
 
Tuna bahati mbaya tu tumeingia choo cha jinsia nyingine. Haa tunaowafuata tayari walishakufa kimapenzi na bwana mwingine. Scouting yetu ndio wametuangusha safari hii kwa sababu walitakiwa kujua kuwa Raphinha ndoto yake ni kwenda Barcelona

NI kama ilivyokuwa kwa Haaland, timu yeyote duniani isingeweza kumsajili kwa sababu Haaalnd sio tu shabiki wa timu baba yake aliichezea pia alikuwa na ndoto ya muda mrefu kuja kulipiza kisasi kwa Kene wa Man U kumjeruhi baba yake na kukatiza career yake ya mpira alipokuwa anaichezea Man City miaka ya 2000. So wachezaji kama Haaland scouting team wanatakiwa wamjue tangu mwanzo ili tusipoteze muda na pesa kumfukuzia mtu ambaye kashafanya maamuzi

Hata Raphinha and Co. wangekuja Chelsea wasingecheza kwa kujituma kwa sababu wasingekuwa Happy. Na haya matakataka mengine tunayosukumana nayo yawezekana nayo yana mapenzi na Barcelona au Real Madrid.
Jitahidi kua consistence katika uchambuzi wako, hoja zako ziwe endelevu, pamoja na kua na msimamo, ndo utakua mzuri zaidi katika uchambuzi wako.
 
Msimu ujao lineup yetu ya uhakika

Timu A katika 3-4-3

--Mount ------- Batshuayi -------- Sterling---

Chilwell-----Kovacic ------ Kante ------James

------Colwill -------Silva ------- Koulibaly-----

------------------ Mendy------------------

Timu B katika 3-4-3

-----Pulisic ------- Broja-------- Ziyech-----

Emerson -----Jogninho ------ Conor ------Azpilicueta

------Sarr-------Koulibaly ------- Chalobah-----

------------------ Kepa------------------

Timu C katika 3-4-3

--Odoi ------- Havertz-------- Werner

Alonso -----Barkley ------Gilmour------RLC

------Babarahma -------Ampadu ------- Miazga-----

------------------ Marcus------------------
 
Wajilaumu Matajiri wenyewe kuingilia kazi za usajili ambazo hawana uzoefu nazo. Wamshukuru Mungu kuwapata sterling na Koulibaly.

Bora wangemuacha Marina awasaidie kukamilisha deals kwenye dirisha hili la usajili. Marina alikuwa mzoefu kwenye negotiations, kudeal na mawakala, wakurugenzi wa vilabu n.k

TODDY BOEHLY atulie tuu amtafute Mkurugenzi wa ufundi na waboreshe scouting team yetu, madirisha yajao ya usajili tutambe sokoni.
Tusimlaum Todd hana makosa,
Kama mchezaj tik imekubal kulipa fee yake then amekataa n yuko willing kupokea pesa ndogo kuliko ile kubwa tutakayompa unahis Todd anamakosa?

Raphinha,[emoji117] tulikubaliana na Leeds ila Raphinha akafuzingua, je hapa Todd Anamakosa????
Kounde[emoji117]kama tim ilikuwa imehisi ishakubaliana na sevilla then sevilla wanawachelewesha + player mwenyewe anataka ajiunge na barce unahisi hapo Todd anamakosa???
 
Msimu ujao lineup yetu ya uhakika

Timu A katika 3-4-3

--Mount ------- Batshuayi -------- Sterling---

Chilwell-----Kovacic ------ Kante ------James

------Colwill -------Silva ------- Koulibaly-----

------------------ Mendy------------------

Timu B katika 3-4-3

-----Pulisic ------- Broja-------- Ziyech-----

Emerson -----Jogninho ------ Conor ------Azpilicueta

------Sarr-------Koulibaly ------- Chalobah-----

------------------ Kepa------------------

Timu C katika 3-4-3

--Odoi ------- Havertz-------- Werner

Alonso -----Barkley ------Gilmour------RLC

------Babarahma -------Ampadu ------- Miazga-----

------------------ Marcus------------------
Tumeyakumbatia madeadwood kibao,

Yani tulikuwa tuko radh tuyaongezee mikataba + pesa ili yaende kwa mkopo

Now imekuwa ngumu kuyauza na yako mengi na hatuwez terminate contract zao
 
Msimu ujao lineup yetu ya uhakika

Timu A katika 3-4-3

--Mount ------- Batshuayi -------- Sterling---

Chilwell-----Kovacic ------ Kante ------James

------Colwill -------Silva ------- Koulibaly-----

------------------ Mendy------------------

Timu B katika 3-4-3

-----Pulisic ------- Broja-------- Ziyech-----

Emerson -----Jogninho ------ Conor ------Azpilicueta

------Sarr-------Koulibaly ------- Chalobah-----

------------------ Kepa------------------

Timu C katika 3-4-3

--Odoi ------- Havertz-------- Werner

Alonso -----Barkley ------Gilmour------RLC

------Babarahma -------Ampadu ------- Miazga-----

------------------ Marcus------------------
Mtakua katika kipindi kigumu sana kama hiki ndio kikosi cha vita
Kikosi A na hiko B. Mjiandae ki saikoloj
 
Wajilaumu Matajiri wenyewe kuingilia kazi za usajili ambazo hawana uzoefu nazo. Wamshukuru Mungu kuwapata sterling na Koulibaly.

Bora wangemuacha Marina awasaidie kukamilisha deals kwenye dirisha hili la usajili. Marina alikuwa mzoefu kwenye negotiations, kudeal na mawakala, wakurugenzi wa vilabu n.k

TODDY BOEHLY atulie tuu amtafute Mkurugenzi wa ufundi na waboreshe scouting team yetu, madirisha yajao ya usajili tutambe sokoni.
Wamrudishe yule Mnigeria Michael Emenalo aliendaga Monaco.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom