Hakuna ubishi hapo, UEFA mwaka juzi tuliupata kwa hisani ya ulinzi imara
Ila kwa timu kubwa kama Chelsea tuimarishe kote kote, uwezo tunao, sababu tunayo na nia tunayo
Nyuma tukipata CB wawili au watatu wanatosha, kiungo wawili wanatosha, mbele striker mmoja na winga mmoja wanatosha
CBs
- Koulibaly - - Mpya (atahitaji rotation ili kupumzishwa)
- Silva - atahitaji rotation ili kupumzishwa
- Kimpembe - Mpya au Jules Kound - Mpya
- Chalobah - Backup
- Levi Colwill - Backup
RB/LB
- James
- Chilwell
- LB Mpya - Backup
- RB Mpya - Backup
DMs
- Kante - atahitaji rotation ili kupumzishwa
- DM Mpya - Backups
CMs
- Kovacic
- Jorginho
- Reuben Lostas Cheek
AMs
- Mason Mount
- Mpya - Kiungo mbunifu na mfungaji kama Mount au zaidi yake
Wingers
- Sterling - Mpya
- Werner
- Ziyech
- Havertz
- Mpya - Mfungaji
Striker
- Mpya - mfungaji wa 20+ goals
- Armando Broja - backup
Hayo mapendekezo imelenga 433 na itahitaji kusajili wapya 9 kama CB ni wawili au 10 kama CB watasajiliwa 3
Kwa 343 haitaji wingers only kuboresha viungo washambuliaji, so watakaoongezeka wanaweza wakawa CB 3, Wing-backs 2, DM 1 na Attacking Midfielder 1 na Striker mmoja jumla 8