lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,910
Vitu vitano visivyoweza kutokea kwenye historia ya Mpira wa Miguu
- Tanzania kushiriki kombe la Dunia
- Nchi ya Afrika kubeba kombe la Dunia
- Arsenal kuvunja rekodi ya Chelsea UEFA
- Ronaldo na Messi Kuchezea timu moja
- Mashabiki wa Chelsea kuwa wavumilivu kama wale wa Liverpool na Arsenal