Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mbona sababu za kufeli hizo sajili inafahamika matajiri kupiga mbizi kwenye lami (Kujiingiza kwenye mausajili)
Upo sahihi , Toddy hajajua bado issue za Usajiri , hiz Kaz zinawenyewe

Kwann Safari hii tu wachezaji wote hao wachoropoke

Anajiingiza kwenye biding war bila sababu za maana
 
Ila Barca kichapo alichompa Chelsea Kwenye dirisha hili la Usajiri hakitasahaulika

Pale Barca Kuna wahuni wanajua kuhijack deals sio poa

Mateu Alemany ,

Halafu changanya na ushawishi wa klabu yao

Yaani wanawapini kabisa wachezaji kuwa wasimsikilize mtu,

Sasa wewe peleka ofa malizana na timu, ukifika kwa mchezaji husika anakupiga chenga

Ona Kwa Raphina, ndio maana Arsenal mapema kabisa wakasema hatutaingia Kwenye biding war , ilikuwa kujiabisha.

Ona mwa Lewandowisk ,wote waliozengea sain yake wamekula za uso akiwepo Chelsea

Now kwa Kounde Chelsea katuma had paperwork ,katuma had bid ya £55m
Akawa anasubiria tu Sevilla wazisaini tu

Barca kaja now anakaribia kumalizia deal

Dirisha ili limekuwa lakimafia sana😂😂😂
Hao wachezaji wakienda kucheza vizuri watakuwa na bahati, ila wakiflop, na bank account zao zitaflop pia
 
SARR -- THIAGO -- KOULIBALY

SARR -- KOULIBALY -- CHALOBAH

KOULIBALY -- THIAGO -- CHALOBAH

Halafu kule mbele kuna Werner, Ziyech, Pulisic, Odoi, Batshuayi., Kai
Na tulionao wanalalamika
  1. Kaanza Lukaku kakimbia
  2. Sasa Werner anataka kusepa naye
  3. Ziyech analalamika kimyakimya anataka kusepa
  4. Azpi anataka Barcelona
  5. Alonso anataka Barc elona
  6. Rudiger kashasepa
  7. Christansen kashsepa
  8. Kepa??
  9. James to Real MAdrid
  10. Broja je
  11. Colwill
Hata Malang Sarr utasikia naye anataka kusepa

Kocha aundiwe tume huru ya kumchunguza

Conference inatuhus 2023/24
  1. Man city
  2. Liverpool
  3. Spurs
  4. Arsenal
  5. Man u
  6. Westham
  7. Chelsea
 
.@gerardromero:

"They said Barça never made an offer to Leeds for Raphinha. They said Barça never made an offer to Bayern for Lewandowski. And now they say Barça have not made an offer for Koundé... Don't they understand that this is Alemany's way of working?"
 
.@gerardromero:

"I've been called stupid, retarded, but I don't care..."

HUYU KWA HABARI ZA BARCA NI 99.9999%
 
❗️In the WhatsApp groups of the Barcelona board they say that everything is closed in the signing of Koundé.

— @gerardromero
 
❗️Xavi to Koundé (before Koundé travelled with Sevilla to Portugal):

"Jules, be patient... be patient. If you go to the training camp with Sevilla, you will be a Barça player. Be patient, Jules."

— @gerardromero
 
Chelsea Chelsea yangu nakushauri. Mchumba akishakukataa amekukataa tu, nenda kwa mwingine. Wako wachumba wengi wazuri na sio wote watakukataa. Tena wanaweza kuwa wazuri kuliko hao wanaokukataa
 
Ila Barca kichapo alichompa Chelsea Kwenye dirisha hili la Usajiri hakitasahaulika

Pale Barca Kuna wahuni wanajua kuhijack deals sio poa

Mateu Alemany ,

Halafu changanya na ushawishi wa klabu yao

Yaani wanawapini kabisa wachezaji kuwa wasimsikilize mtu,

Sasa wewe peleka ofa malizana na timu, ukifika kwa mchezaji husika anakupiga chenga

Ona Kwa Raphina, ndio maana Arsenal mapema kabisa wakasema hatutaingia Kwenye biding war , ilikuwa kujiabisha.

Ona mwa Lewandowisk ,wote waliozengea sain yake wamekula za uso akiwepo Chelsea

Now kwa Kounde Chelsea katuma had paperwork ,katuma had bid ya £55m
Akawa anasubiria tu Sevilla wazisaini tu

Barca kaja now anakaribia kumalizia deal

Dirisha ili limekuwa lakimafia sana
Ukweli ni dharau kabisa anazofanyiwa chelsea kipindi hichi na haya yote kutokuwa na uzoefu kwa Todd Boehly kwenye maswala ya usajiri

Ilikuwa ni makosa kwa Marina kuondoka kipindi hichi ambapo yeye anajua vizuri vurugu la kusajiri wachezaji
 
Kuna kila dalili kuwa Tuchel atamrudia Ake, Taarifa zinadai kuwa TT anamtaka CB ambaye ni Left footed, Japo Koulibaly anaweza kucheza hiyo nafasi lakini Ake ndie nafasi yake sahihi na kwa hiyo Chelsea wanaweza kuongeza dau kwa man city ili wamchukue Ake kama Kounde ataenda Barca
 
Ukweli ni dharau kabisa anazofanyiwa chelsea kipindi hichi na haya yote kutokuwa na uzoefu kwa Todd Boehly kwenye maswala ya usajiri

Ilikuwa ni makosa kwa Marina kuondoka kipindi hichi ambapo yeye anajua vizuri vurugu la kusajiri wachezaji
Ila hii itakuwa nzuri zaidi kwa Chelsea kwa sabbau huko mbeleni huyu Todd atajua kuwa usajili sio lelemama, atajiandaa zaidi na kumuweka mtu anayeweza negotiation kama Marina. Hata Petr Cech alikuwa anaelekea huko
 
Upo sahihi , Toddy hajajua bado issue za Usajiri , hiz Kaz zinawenyewe

Kwann Safari hii tu wachezaji wote hao wachoropoke

Anajiingiza kwenye biding war bila sababu za maana
Nafikiri ashajifunza sasa atakaa pembeni
 
20220723_214121.jpg
 
Kwa mchezo huu mchafu Barcelona wametangaza vita na sisi, kwa kuanza Azpi na Alonso hatutampa kamwe wawasubiri mwaka wakati wao watakuwa bankrupt
 
Ukweli ni dharau kabisa anazofanyiwa chelsea kipindi hichi na haya yote kutokuwa na uzoefu kwa Todd Boehly kwenye maswala ya usajiri

Ilikuwa ni makosa kwa Marina kuondoka kipindi hichi ambapo yeye anajua vizuri vurugu la kusajiri wachezaji
Marina mzoefu ,kitambo angeshawasaini Raphina na Kounde

Mwaka gan uliwahi sikia vituko Kama hivi eti Chelsea have reach full agreement with Leeds over Raphina for around £65m

Halafu mchezaji anasaini kwingine

Halafu Scenario inatokea sio kwa deal moja
 
Kwa mchezo huu mchafu Barcelona wametangaza vita na sisi, kwa kuanza Azpi na Alonso hatutampa kamwe wawasubiri mwaka wakati wao watakuwa bankrupt
Tutamkumbuka sana Roman yeye alikuwa ana uwezo wa kuhijack deal lolote analotaka kipindi cha nyuma Mikel Obi,salah,Willian,Robben na Pedro ila now mambo yanarudi upande wetu
 
Marina mzoefu ,kitambo angeshawasaini Raphina na Kounde

Mwaka gan uliwahi sikia vituko Kama hivi eti Chelsea have reach full agreement with Leeds over Raphina for around £65m

Halafu mchezaji anasaini kwingine

Halafu Scenario inatokea sio kwa deal moja
Haya mambo yanayotokea watajifunza hawa matajiri next time hayatajirudia
 
Kounde bana alishasajiliwa siku nyingi Barcelona, sis ndio tulioingia kichwa kichwa bila plan
Ni vyema kuanzia kumpleleleza mchezaji kama hana mapenzi na timu shit muache apotelee huko dunia ina vipawa vingi sana tunaweza hata kwenda kule flamengo corithins kutafuta vipaji au hata kuja Tanzania kuwatafuta akina Kagere.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom