Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sprinkler za Mkapa ziko underground wewe boya unafikiri ni ya kunyeshea na mipira kama hiyo yenu
Underground zikifanya drip irrigation ama? 🤣🤣 Hizi stadiums zingine worldwide ambazo zinatumia popup sprinklers bado hawatapata hio technology yenu ya water boozer.🤣🤣🤣
 
Ni kweli kabisa kwamba Kenya imebarikiwa kwa ufisadi. Yaani Kenya ni ufisadi na ufisadi ni Kenya. Angalia pitch ya uwanja wao imeanza kugeuka kuwa vumbi hata mechi kumi hazijachezwa. Nyasi zenyewe utadhani wamepanda mjani ya kulisha ng'ombe 😃😃
Jani nimeangalia mechi ya Morocco na kenya intermittently pitch ni mbovu sana haina tofauti na uwanja wa korogocho.
 
ulitegemea uoneshwe ? Unadhani ingekuwa inatambulika na fifa kama kiwanja Bora bila kufuata guideline za ujenzi wa viwanja.
Yaan nyinyi bado washamba sana.
Unaelewa hata maana ya guideline
CAF wanaficha aibu, kumbuka ni wao tu walisema Makwapa imepigwa ban ju ya kuflood. Munaogopa kumwaga maji uwanja usi flood. 🤣🤣🤣
 
ulitegemea uoneshwe ? Unadhani ingekuwa inatambulika na fifa kama kiwanja Bora bila kufuata guideline za ujenzi wa viwanja.
Yaan nyinyi bado washamba sana.
Unaelewa hata maana ya guideline
Ushamba ndio unaowafanya wajazane mle uwanjani,ikiisha chan viwanja vyao vinakua mabanda ya kuku hadi 2027
 
Tuache kujidanganya. Kenya na ligi yao mbovu na level yao ya chini lakini tukikutana nayo tunapigwa. Morocco ligi yao uko juu same na Angola, lakini Kenya wana kocha mzuri kulinganisha na malofa wa Tanzania.

Tuna ligi bora na wachezaji wazuri na tulitakiwa tuwe tunatoa dozi pana sana na sio ushindi wa goli moja na kujilinda. Timu za taifa hazina kocha.
Ah wapi nguvu ya ugali tuu hiyo.
 
Tangu hii tournament ianze, makwapa haijawai ona maji, ju wanajua it will flood like nonsense.

Image

Image
We had those sprinklers 20 years ago nyie ndio mnaona deal leo na kukenua meno humu. Mko nyuma sana bado.
 
Back
Top Bottom