President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,370
Ni kama timu za Zanzibar zikiwa zinacheza na timu za bara. Wanacheza jihad sana. Hamna timu mleKenya hamuna timu kuishinda Taifa stars kwa sasa.
Ni kama timu za Zanzibar zikiwa zinacheza na timu za bara. Wanacheza jihad sana. Hamna timu mleKenya hamuna timu kuishinda Taifa stars kwa sasa.
Wachezaji wa Kenya NJAA ni KALI.Nimekuwa nikiwaambia hivo for the longest time hawaskii. Wanaamini Wana timu noma kutushinda.😂😂
Compare and contrast 😂😂🤣👇👇👇so simba na yanga hua wanacheza nn? au hua wanacheza rede??😂😂😂
Nchi ya team mbili.🤣🤣 Hakuna mpria munapenda nyinyi.so simba na yanga hua wanacheza nn? au hua wanacheza rede??😂😂😂
But not with crucial points kama AFCON.Hujui ball, CHAN affects FIFA ranking
Na ndio maana nilikuambia usituletee mambo ya FIFA rankings hapa. Wewe mambo ya ball ilikupita kwa mbali Sana.Sihitaji kukuelezea hilo tena.
Yote ya yote huu ni mpira hata Saudi Arabia alimfunga Argentina world cup.
mgumba akipata mimba basi muda wote anahamu ya kupelekewa moto tu 😂Mgumba kapata mimba anatema mate mtaa mzima. 😂😂😂
Nimeona mwengine pale Tik Tok alisema anatamani tukutane nao knockouts nikacheka tu. Nikasema huyu hatujui.😂Tanzania wanacheza na viwete wanadhani watawezana na Kenya.
Tanzania has never won any game at AFCON. So hizo points mtatoa wapi?But not with crucial points kama AFCON.
Hata ulie, unyambe Harambee Stars kiboko yao.😃😃😃Wachezaji wa Kenya NJAA ni KALI.
Ruto kawaahidi 1M, kila mmoja anajituma 200% atoke USHAGOO. Nguvu kubwaaa.
Nduo maaa RED Card kila mechi.
Hivi unajua kuwa kamwe huwezi kuwa muingereza hata ufanyeje?😁You mean amateur ?… stick to Swahili..🤣🤣
Ita yeye hapa.😂😂Yule Quack anayejiita Kosugi karibu aninyonge hapa vile nilimwambia FIFA rankings haichezi ball🤣🤣😂😂
Endelea kujifariji. Kimoyomoyo unaujua ukweli.😂😂Kenya hamuna timu kuishinda Taifa stars kwa sasa.
Mgonjwa matapiko.😂😂Haya manyang’au yamefunga😂
I missed church today to watch Live .. I had to tell family to give an alibi to the pastor that I had allergies… it worked.🤣🤣🤣🤣🤣Glad I stayed back!!Refa maliza game Wacha usenge.
Hawa tutachinja asubuhi na mapema. Naomba Tu tuwashike Quarter finals pale Kasarani 🤣🤣Nimeona mwengine pale Tik Tok alisema anatamani tukutane nao knockouts nikacheka tu. Nikasema huyu hatujui.😂
Eti ulisema Morocco watafanya nini? 🤣🤣🤣Haya manyang’au yamefunga😂