Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

viti vyote vilibadilishwa, pitch ilifumuliwa yote, taa zote na system yote ya electricity ilibadilishwa, vyoo vote na changing rooms zilibadilishwa, plumbing ilifumuliwa
Kasarani did 5 times that. So keep quiet and admire Kasarani Stadium.

1000040368.jpg
 
Ni kweli kabisa kwamba Kenya imebarikiwa kwa ufisadi. Yaani Kenya ni ufisadi na ufisadi ni Kenya. Angalia pitch ya uwanja wao imeanza kugeuka kuwa vumbi hata mechi kumi hazijachezwa. Nyasi zenyewe utadhani wamepanda mjani ya kulisha ng'ombe 😃😃
 
Back
Top Bottom