Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata mie nashangaa kwa quality ipi uiogope Harambe stars kiasi hicho?
Mpira wote tumeona labda naweza kusema Kocha ndio anaibeba timu ila sio uchezaji wa players.
Sijaona forward ya kumpita Ibrahim Bacca wala Shomari Kapombe pale wala Dickson Job.
Sijaona kiungo wa kati wa kumzia Mudathir Yahya pale tena kwa Feisal Salum ndio kabisaa wanatepeta hawa.
Hujui mpira. 🚮 🚮 🚮

Style play ya Benny McCathy ni ushambuliaji na wakati malofa wako wao ni defensive na timu ikifunga ni goli moja labda ikutane na timu za hovyo kama Lesotho/Swaziland na Madagascar ndio timu pekee wale makocha wahovyo wameregister 2 goals. Tangu Benny achukue timu, inafunga kila mechi irrespective wamekutana na nani. Mechi ya pili na red card na wanafunga na mechi inaisha bila kupoteza.

Hata uwe na wachezaji wa aina gani, kama makocha ni viwete kama tulionao, subiri uone. Ndio maana hakuna mtu anajishughulisha kwenda uwanjani.🚮
 
Kenya hamuna beki kama Dickson Job,Shomari Kapombe, Ibrahim Bacca. Sijaona kiungo wa kati kama Kelvin Nashon au kama Feisal Salum au kama Mudathir Yahya.
Kenya bado kukamia kwenu ni sawa na Stellenbosch kumfunga Zamalek akijisifu anajua mpira akaja kukutana na Berkane akafa goli 5.
Hamuna quality hiyo bado na kukamia huko.
Ati Dickson Job na Kelvin Nashon ?….. na Mnasema Wakenya wanajifanya Wazungu … Oh Lord have mercy !..🤣🤣🤣
 
Haijalishi lakini kufuzu imefuzu😎
Your grim reaper is Morocco 🇲🇦. Since they will be second in our group, they are coming to Mkapa . That will be your demise. Just like when Argentina lost to Saudi Arabia, don’t be surprised the Atlas Lions going all the way to the Finals ( hopefully we meet them again)..
 
Nyayo stadium. Zambia vs Angola
1000062163.jpg
 
Hiyo pesa ndogo sana kwa Wachezaji TZ.

Haina uwezo wa kumshtua mchezaji TZ.

Unaona huyu Mchezaji, Mzize anapata Ksh 800,000 kila mwezi na bado BONUS, na SIGNING FEE.

Na unaona Esperance wanamtaka kwa $1M, na mshahara hautakuwa chini ya $30,000.

Sasa huwezi kumshtukia kwa posho ya Ksh 1M kwa mechi za CHAN.

View attachment 3437679
Tuache upuuzi kupeleka wachezaji wetu nchi za Kiarabu! Aende Europe!
 
Back
Top Bottom