ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
See how Africans are admiring Kasarani.
Hapo bado hawajaona Talanta Stadium.
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1954474104704135274?t=p_Imii2ZAwYtYsYZ6Hn9mQ&s=19
Unadhani wakenya ni maskini kama Tanzania.hawa wote walala hoi washapewa ticket za bure 😂😂😂😂
Something like this imeshinda tu watanzania kabisa.
View: https://x.com/kevo_atandi/status/1954494705271460279
Unadhani wakenya ni maskini kama Tanzania.
From this video 99% of the tickets in soft copy and are being scanned from the phone. This means hakuna mwenye alinunuliwa ticket hapa.
View: https://x.com/berurfmke/status/1954498080360833132?t=JoXAfW37RldUIc_ykq2VDQ&s=19
Nyinyi mlishindwa kujaza Stadium even after serikali kuwanunulia tickets. Hakuna watu maskini kama watanzania 🤣🤣😂👇👇matajiri wanatembea na miguu washapewa ticket za bure tayar 😂😂😂 wameongozana kama makondoo
Wewe utabaki kuwa mjinga milele. Sasa unataka kulinganisha pesa za 2005 na pesa za 2025? How much was cement in 2005 in comparison to 2025?amepewa na nani ikiwa benjamin ilijengwa from scratch for 60m usd leo kasarani inafanyiwa renovation for 52m usd aloo sijapata kuona 😂😂😂😂😂
kweli ruto kawapatia nyinyi mbwa
hio ni stadium ya 62k si ile yenu ya 48k na bado CAF hawataki ifike 48k wanawapa masharti ya 46k only coz hawaamini ujenzi wenu muda wowote stadium inaeza fumuka 😂😂😂😂Nyinyi mlishindwa kujaza Stadium even after serikali kuwanunulia tickets. Hakuna watu maskini kama watanzania 🤣🤣😂👇👇
View attachment 3437489
Hivi ndo huwa watanzania wanaonekana mitandaoni, watu wenye hawana akiliIla Wakenya Sijui Mnakulaga nini
Mbona wengiwenu wajinga wajinga tu
Yaani Hata ukiingia Mitandaoni Iwe Tiktok au Twitter ni Vile vile
Vijana wengi Unaona kabisa Hawapo sawa Kichwani ni kama Mnamtindio wa Akili aisee!!
2007 benjamin ilijejengwa so leo hii unataka kunambia bei renovation imefika 52m usd 😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻Wewe utabaki kuwa mjinga milele. Sasa unataka kulinganisha pesa za 2005 na pesa za 2025? How much was cement in 2005 in comparison to 2025?
Wewe unakuanga mpumbavu Sana. Na hiyo Makwapa by the way mlizawadiwa, hakuna pesa yenu ilitumika hapo hata moja.
Yenu ni 60k lakini hata kujana viti 5k imewashinda. Ebu tueleze shida ni nini, umaskini ama?hio ni stadium ya 62k si ile yenu ya 48k na bado CAF hawataki ifike 48k wanawapa masharti ya 46k only coz hawaamini ujenzi wenu muda wowote stadium inaeza fumuka 😂😂😂😂
na bado ruto na politicians wananunua ticket kisiasa na kupewa watu ambao hawatokwenda kusema ruto must go😂😂
wameingia watu over 22k na hapo time ni usiku saa mbili usiku mpaka saa nne usiku , na still rush hours kwa jiji la darYenu ni 60k lakini hata kujana viti 5k imewashinda. Ebu tueleze shida ni nini, umaskini ama?
Renovation ya kupaka viti rangi ndio unasema ni huge renovation? Kweli wewe ni ng'ombe.ikiwa benjamin mkapa wamefanya huge ronavations for about 13m usd
The highest attendance hapo Makwapa for the Chan match was 14k, hata 15k hamjaifika. Umaskini umewakalia koo yenye hata kupumua ni shida😂😂🤣😂wameingia watu over 22k na hapo time ni usiku saa mbili usiku, ni rush hours
kuna vitu unahitaj kua na akili tu 😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Renovation ya kupaka viti rangi ndio unasema ni huge renovation? Kweli wewe ni ng'ombe.
We are watching football by using Azam Max web. Online kabisa. Tanzania ipo juu mnoNyinyi mlishindwa kujaza Stadium even after serikali kuwanunulia tickets. Hakuna watu maskini kama watanzania 🤣🤣😂👇👇
View attachment 3437489
viti vyote vilibadilishwa, pitch ilifumuliwa yote, taa zote na system yote ya electricity ilibadilishwa, vyoo vote na changing rooms zilibadilishwa, plumbing ilifumuliwaNi nini mlifanya hapa tofauti na kupaka viti rangi?