Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,087
- 33,297
Tanzania imefuzu kwa kundi la viwete.Naumia vipi wakati Tanzania imeshafuzu hatua inayofuata ikiwa na point 9!
Pengine muwatambie somalia huko.
Tanzania imefuzu kwa kundi la viwete.Naumia vipi wakati Tanzania imeshafuzu hatua inayofuata ikiwa na point 9!
Pengine muwatambie somalia huko.
Saa hii wanasema ati Ruto bribed the Moroccan coach🤣🤣🤣Excuses.
Tumia Kiswahili mbwa. 😄🤣
Use English, you dog🤣🤣Tumia Kiswahili mbwa. 😄🤣
Wewe tafuta 50 bob Tuesday uende ukawach game ya Tanzania.Kumbuka half of those fans wameruka ukuta!
Tuache kujidanganya. Kenya na ligi yao mbovu na level yao ya chini lakini tukikutana nayo tunapigwa. Morocco ligi yao uko juu same na Angola, lakini Kenya wana kocha mzuri kulinganisha na malofa wa Tanzania.Hiyo Morocco uliyoifunga leo ikiwa na wachezaji wa ndani sisi tumecheza nayo sana ikiwa na international players na haikufua dafu zaidi ya kusare.
Jipangeni kufikia Tanzania bado wacheni kuota ndoto za mchana.
I would decline with an 8 ft pole 🤣🤣… utakuta yeye ndiye Venus star pia ( just the alter ego)…🤮Zuwenna alisema tukiongoza group anatugawia k***a 🤣 🤣
Soma maelezo vizuri kama huelewi nikuletee bandiko lingine.Bradhee, nini unapingana sasa. 🤣 🤣
Haijalishi lakini kufuzu imefuzu😎Tanzania imefuzu kwa kundi la viwete.
Wameanza.🤣🤣🤣Since KENYA is a very corrupt country, I'm tempted to think that they may have bribed the Moroccan team coach. Ruto is not someone you can trust when it comes to giving illegal incentives 🤣🤣🤣
Huyo achana naye. Ni kawaida yao sana kuforce issues just to win an argumentBradhee, nini unapingana sasa. 🤣 🤣
Nimeona video moja wakiwa wanaruka, fans wakiwa wanasema "leo tunaingia bure"Kumbuka half of those fans wameruka ukuta!
Excuses galoreWameanza.🤣🤣🤣
No problem Geuza, hata wakiruka nyumba nzima ni sawa. Bora stadii ijae. 😀 😀Kumbuka half of those fans wameruka ukuta!
You only have Clement Msize , wengine ni swara za serengeti 🤣🤣🤣Benny is good coach compared to those Tanzanian fools.Kwa wachezaji tulionao na level ya ligi yetu, tulitakiwa tuwe tunatoa dozi pana sana.
Acha woga ndugu. Hawana mpira wa kuzidi Tanzania hawa nyan'gau. Tofautisha kukamia na viwango vya mpira kwa wachezaji. Kenya ni wanakamia mechi ila siyo timu nzuri. Sianglii matokeo haya kujastify ubora wa timu ya Kenya.Tuache kujidanganya. Kenya na ligi yao mbovu na level yao ya chini lakini tukikutana nayo tunapigwa. Morocco ligi yao uko juu same na Angola, lakini kwakua Kenya wana kocha mzuri kulinganisha na malofa wa Tanzania.
Tuna ligi bora na wachezaji wazuri na tulitakiwa tuwe tunatoa dozi pana sana na sio ushindi wa goli moja na kujilinda. Timu za taifa hazina kocha.
Najua unaumwa. Shika hii panadol umeze. 😀 😀 😀Mechi 3
Win 3
Point 9
Kawatambie Somalia sio Tanzania.
Naona mmeanza kunusa ukweli. Madharau yataisha sasa 😀 😀Benny is good coach compared to those Tanzanian fools.Kwa wachezaji tulionao na level ya ligi yetu, tulitakiwa tuwe tunatoa dozi pana sana.
Huwa huangalii mpira kaka, kwa ule mpira wa kubutua butua, sema wana kocha lakini hawana wachezaji.Tuache kujidanganya. Kenya na ligi yao mbovu na level yao ya chini lakini tukikutana nayo tunapigwa. Morocco ligi yao uko juu same na Angola, lakini kwakua Kenya wana kocha mzuri kulinganisha na malofa wa Tanzania.
Tuna ligi bora na wachezaji wazuri na tulitakiwa tuwe tunatoa dozi pana sana na sio ushindi wa goli moja na kujilinda. Timu za taifa hazina kocha.
Mbona unalazimisha sana niumie?Najua unaumwa. Shika hii panadol umeze. 😀 😀 😀
![]()
Did you say swara za Serengeti!? 🤣🤣🤣🤣🤣You only have Clement Msize , wengine ni swara za serengeti 🤣🤣🤣