ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
😂😂😂😂 wanaingizwa bure na bado wanatukana
View: https://x.com/mr_umbwakni/status/1954769572357112314?s=46
View: https://x.com/mr_umbwakni/status/1954769572357112314?s=46
Main host kwa kuvunja gates na ku storm uwanjani hauoni hiyo ni recipe for disaster at AFCON 2027 pia uko uchaguzi.At this point CAF washaajua nani atakuwa main host wa AFCON.😂😂
😂😂😂😂 wanaingizwa bure na bado wanatukana
View: https://x.com/mr_umbwakni/status/1954769572357112314?s=46
Dar Inapendeza Sana kwa Sasa
Shida hapa ni Haya Mawaya majengo Mapya Mazuri lakini Bado wanaweka Miwaya Hovyo hovyo
Walipo kuwa wana Tindua Bara bara Kuweka BRT kwanini wasiweke Miundombinu Haya ma waya yapite Ardhini!
View: https://www.instagram.com/reel/DMVpJejIkPK/?igsh=MTdmb2F6OXZ5c3F2eA==
Mshindi wa pili wa kundi lenu anakuja kwa mkapa,lazima apasukeNusu fainali haiko mbali. I have saved this comment to humble you with in a few days' time
Je, unaweza kutueleza kwama kuna ukweli au la!!?It's good umesema kwamba "unasikia". Continue sikiaring!
Tanzania tulishaga dunga morocco miaka mingi sana. Tulishatoka huko sisi
Tanzania 3-1 Morocco
View: https://youtu.be/Nc75n5LOj_E?si=pzzKRsg6LgMvsN0X
Hakimi akiwemo ndani na walikula chuma tatu.
Reserve your comment after quarterfinalsNdio maana nawaambia hawa kumfunga Marocco goli Moja la ngama haimaanishi kuwa wako vizuri kimpira kutuzidi. Huko sisi tulishapita.
Tena tulizifunga timu zikiwa na international players wake full mkoko.
Na atakuwa ni Mmorocco 😂😂😂Mshindi wa pili wa kundi lenu anakuja kwa mkapa,lazima apasuke
Bongolala, if you followed keenly, tickets were sold out and out of frustrations, some fans stormed one of the gates to gain entry. Some people were even forced to pay five times to get their hands on the tickets when some unscrupulous 'dealers' bought multiple tickets and were now selling to the highest bidder.Main host kwa kuvunja gates na ku storm uwanjani hauoni hiyo ni recipe for disaster at AFCON 2027 pia uko uchaguzi.
You are writing too many words. Are you a jobless?Bongolala, if you followed keenly, tickets were sold out and out of frustrations, some fans stormed one of the gates to gain entry. Some people were even forced to pay five times to get their hands on the tickets when some unscrupulous 'dealers' bought multiple tickets and were now selling to the highest bidder.
The fact that tickets were sold out and that Kasarani was full to capacity is what pains you people, especially when you compare to what's happening in your stadiums even when your own national team is forced to play in front of empty seats.
Continue consoling yourselves
Tumia tu kiswahili wewe mnyamwezi. Tutaelewana tu badoYou are writing too many words. Are you a jobless?
Tunamchapa vizuri sana,morocco hii ya chan hamna kituNa atakuwa ni Mmorocco 😂😂😂
Hebu tuma voice note na neno Nation tuchekeTumia tu kiswahili wewe mnyamwezi. Tutaelewana tu bado
Sprinkler za Makwapa ziko wapi during these CHAN games? Makwapa is a former shadow of itself.Shida yenu mmekurupukia tu juzi mpira hata guidelines hamzijui . Mkapa Iko FIFA recognized zaid ya decade nzima.
Ebu kasome guideline
FIFA Football Stadiums Guidelines – Section 2.4.4 (Pitch Maintenance and Support Equipment)
“Sub-Section 2.4.2 noted that an irrigation system is often installed in the pitch base, and this system is now regarded as essential in terms of pitch maintenance.”
The guidelines explain that irrigation is crucial to maintain the visual quality of the turf, keep an appropriate moisture level for ball roll and player comfort, and to ensure pitch durability throughout the season.
Technical Systems & Water Management (FIFA Stadium Guidelines – Section 5.6)
“The need for pitch irrigation, particularly on matchdays (see Section 2.4), will result in large demand for water during short periods of time, such as at half-time.”
This section highlights the importance of having a reliable irrigation system and adequate water storage to meet these high, short-term demands.
FIFA Natural Turf Guidelines (2023)
“An automatic pop-up irrigation system is required or is of great benefit to the quality of the pitch in the long term.”
These guidelines also detail sprinkler positioning (90°, 180°, 360° arcs) to ensure even coverage and prevent over-watering in certain areas.
Sio Kila kitu mjifanye mnajua🤣🤣🤣🤣🤣.![]()
Inside FIFA
The official site of the international governing body of football with news, national associations, competitions, results, fixtures, development, organisation, world rankings, statistics, the International Football Association Board, history, laws of the game, futsal, publications, downloads...inside.fifa.com
Hiyo kasarani hata kutambulika FIFA bado ,
Ukisoma ukaelewa ndo utajua kuwa mkapa Ina sprinkler kabla hata ya nyinyi kuziota
ulitegemea uoneshwe ? Unadhani ingekuwa inatambulika na fifa kama kiwanja Bora bila kufuata guideline za ujenzi wa viwanja.Sprinkler za Makwapa ziko wapi during these CHAN games? Makwapa is a former shadow of itself.