NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,008
- 19,180
Saahii fake James Bond na mbilikimo huwezi wapata humu😂Yani majamaa wanaumia kweli kweli🤣🤣😂
Saahii fake James Bond na mbilikimo huwezi wapata humu😂Yani majamaa wanaumia kweli kweli🤣🤣😂
Tanzania wanacheza na viwete wanadhani watawezana na Kenya.Mambo haya.😂😂
Nakwambia tungewekwa hilo. Kundi kundu la Vumbistan tungekuwa tunapiga mtu Tano mtungi Kila game.😂
View attachment 3437629
Nimekuwa nikiwaambia hivo for the longest time hawaskii. Wanaamini Wana timu noma kutushinda.😂😂Hata hio bottom 100 tuliingia ju ya ban. Hio haikuangi territory yetu, inakuanga ya bongolalas. 🤣🤣🤣
Unakimbia ukienda wapi?🤣🤣😂😂haya mm nilikwepo kwaherini🙈🏃♂️➡️🏃♂️➡️ sijui ntaweka wapi sura yangu kwa kweli
You mean amateur ?… stick to Swahili..🤣🤣Kenya ni amateure team.
so simba na yanga hua wanacheza nn? au hua wanacheza rede??😂😂😂Hampendi mpira nyinyi, munapenda Simba na Yanga tu. Hii CHAN imewa expose mbaya sana.
Kenya hamuna timu kuishinda Taifa stars kwa sasa.Nimekuwa nikiwaambia hivo for the longest time hawaskii. Wanaamini Wana timu noma kutushinda.😂😂
Mgumba kapata mimba anatema mate mtaa mzima. 😂😂😂so simba na yanga hua wanacheza nn? au hua wanacheza rede??😂😂😂
Hujui ball, CHAN affects FIFA rankingUnajua maana ya CHAN??
Hii AFCON ya 2027 naona tukihost pekee yetu😂😂😂
View: https://x.com/ali_naka/status/1954528403358351847?t=4xJQ2OfdV1_J-KIcdXC6Aw&s=19
In that Kenyan group Kenya is the least ranked but funny enough ndio anatop the group😂😂I will bet today watu wa Bongo will not mention FIFA rankings 🤣🤣🤣… a 10 man Harambee Stars beats the 12th Globally FIFA ranked team Atlas Lions… the top African team..woooow!!!!
Sihitaji kukuelezea hilo tena.Yule Quack anayejiita Kosugi karibu aninyonge hapa vile nilimwambia FIFA rankings haichezi ball🤣🤣😂😂