Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ulitegemea uoneshwe ? Unadhani ingekuwa inatambulika na fifa kama kiwanja Bora bila kufuata guideline za ujenzi wa viwanja.
Yaan nyinyi bado washamba sana.
Unaelewa hata maana ya guideline
Ushamba ndio unaowafanya wajazane mle uwanjani,ikiisha chan viwanja vyao vinakua mabanda ya kuku hadi 2027
 
Tuache kujidanganya. Kenya na ligi yao mbovu na level yao ya chini lakini tukikutana nayo tunapigwa. Morocco ligi yao uko juu same na Angola, lakini Kenya wana kocha mzuri kulinganisha na malofa wa Tanzania.

Tuna ligi bora na wachezaji wazuri na tulitakiwa tuwe tunatoa dozi pana sana na sio ushindi wa goli moja na kujilinda. Timu za taifa hazina kocha.
Ah wapi nguvu ya ugali tuu hiyo.
 
Tangu hii tournament ianze, makwapa haijawai ona maji, ju wanajua it will flood like nonsense.

Image

Image
We had those sprinklers 20 years ago nyie ndio mnaona deal leo na kukenua meno humu. Mko nyuma sana bado.
 
Kwa hivyo your Makwapa is better than Etihad Satdium, which uses sprinklers? Eeeehhhh enyewe bongolala will say anything to justify their stupidity. Kwa hivyo zile team kubwa za Europe hawana hio underground cooling ju nishawai kuona sprinklers ziki malfunction game ikiendelea. 🤣 🤣 🤣

Fans say the same thing as Sky Sports team sprayed by sprinklers but Roy  Keane stands his ground while Neville bolts it | The Sun


Stamford Bridge
Stamford Bridge (stadium) - Wikipedia
Acha ujinga ina depend na turf iliyopo sisi tuko na hybrid turf haitaji obove the ground sprinkles.
 
Atajulia wapi , maana hajui hata guidelines za fifa zinataka ili uwanja uweze kidhi takwa la michezo ya kimataifa lazima kuwepo na cooling system ya uwanja , hybrid turf haihitaji uwe na sprinklers .
Wenzetu kwa kuwa hivi vitu kwao ni vigen wanaona maajabu🤣🤣🤣🤣
Acha ujinga ina depend na turf iliyopo sisi tuko na hybrid turf haitaji obove the ground sprinkles.
Ila huwa hatuwashangai maan kipindi wanazindua sgr yao palikuwa hapakaliki ila siku hizi ni lataka.
 
Back
Top Bottom