Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
Wamevunja Gate wameingia bure
View: https://www.instagram.com/reel/DNLKF2YKSF4/?igsh=Y2I2aXIzbWk5bjl4
Kuna uwezekano wa finals za CHAN kufanyika Dar!
Wamevunja Gate wameingia bure
View: https://www.instagram.com/reel/DNLKF2YKSF4/?igsh=Y2I2aXIzbWk5bjl4
Hampendi mpira nyinyi, munapenda Simba na Yanga tu. Hii CHAN imewa expose mbaya sana.huna akili wewe 2000 tsh ni 50bob??
hvi nyinyi munaweza kushindana na watanzania kwenye kupenda mpira ??
Will never happen. 🤣🤣Kuna uwezekano wa finals za CHAN kufanyika Dar!
Watanzania wanaopenda mpira👇👇👇😂😂🤣huna akili wewe 2000 tsh ni 50bob??
hvi nyinyi munaweza kushindana na watanzania kwenye kupenda mpira ??
Kupenda mpira na hizi aibu mnatuletea?? Labda kupenda mpira kwa mdomohuna akili wewe 2000 tsh ni 50bob??
hvi nyinyi munaweza kushindana na watanzania kwenye kupenda mpira ??
Hili muaibishe Africa?🤣🤣😂🤣Kuna uwezekano wa finals za CHAN kufanyika Dar!
Yakirudi yana park BUS, na yana golo mojaile ni clear redcard wala haina ubishi 😂😂
hata aliecheza ile rafu alishajua kinachofuata ni umeme tu
Hao mashabiki wote washalipa wako na tiketi ni subira walikosa kwasababu process yenyewe ipo slow na game ilkua inakaribia. Ndo wafike hapo wamepita check out kadhaa. CAF na FKF wanafaa washughulikie hio issuematajiri hao 😂😂😂😂 wasubiri rungu la CAF sasa alaf hawa ndio wapewe Afcon 😂
nilikwambia hawa wote ni walala hoi wengine wamenunuliwa tickets na piliticians
Goal attempts shots total 18 while Madagascar shots total 14.Since according to Bongolalas, statistics win matches, hereby is the 115th FIFA ranked team dominating you and almost kicking your ass ..😁😁
View attachment 3436997
Kwako stats is all about goal attempts. 🤣🤣Goal attempts shots total 18 while Madagascar shots total 14.
We huoni goal attempts amezidiwa Madagascar!?
Wamevunja Gate wameingia bure
View: https://www.instagram.com/reel/DNLKF2YKSF4/?igsh=Y2I2aXIzbWk5bjl4
Hujui hata mpira.Kwako stats is all about goal attempts. 🤣🤣
Ndio hao wanasema wana hela!😂😂😂Kwani usitarabu Kenya uliondoka na meli
Nyinyi mlishindwa kujaza Stadium nyamaza.Ndio hao wanasema wana hela!😂😂😂
Sasa mbona unakubali kuwa tunapenda mpira?😎Hampendi mpira nyinyi, munapenda Simba na Yanga….
Wamevunja Gate wameingia bure
View: https://www.instagram.com/reel/DNLKF2YKSF4/?igsh=Y2I2aXIzbWk5bjl4
BONGOLALA wanadhani Kasarani ina compound ndogo kama hio Makwapa yao, they should know Kasa is a complex and it's huge.Ch
Check points ni nne na iyo ni ya mwisho after going through tatu mwanzo.