Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You only spent 338 million dollars in the first 10 months of 2023 while Kenya spent 680 million dollars during the same period. That's double the amount, yet it was a drop. Bado mko nyuma sana kijana mdogo.

View attachment 3215209

Image
🤣🤣 wewe hiyo data yako iko wapi.? 🤣🤣🤣 kwasababu hii list inaeleza wazi sisi tumeagiza gari mingi almost 15k more cars of what you ordered. 👇🏾
IMG_4012.jpeg
na hizo ni japanese Cars tu 🤣🤣🤣 achana na wale wanunua mabasi ya kichina na waingiza chuma za ki western, na zile buses 1000 za BRT from marcopolo G7. Haya tueleze hapo hiyo thamani ya gari za kenya iko wapi tulinganishe. 🤣🤣🤣
 
🤣🤣 wewe hiyo data yako iko wapi.? 🤣🤣🤣 kwasababu hii list inaeleza wazi sisi tumeagiza gari mingi almost 15k more cars of what you ordered. 👇🏾View attachment 3215342na hizo ni japanese Cars tu 🤣🤣🤣 achana na wale wanunua mabasi ya kichina na waingiza chuma za ki western, na zile buses 1000 za BRT from marcopolo G7. Haya tueleze hapo hiyo thamani ya gari za kenya iko wapi tulinganishe. 🤣🤣🤣
Yet you only spent 330 million dollars on cars. 🤣 🤣 🤣 Watu sio wajinga bana.
 
Larry is my friend and I know he had a bad experience of a leaking roof at JKIA …then he got attacked for exposing it….so he’s just releasing steam of anger and frustration …he’s an international journalist (CNN)…so don’t read too much into his statement
The most pathetic excuse ever.....kumbe wewe mdo mjinga hivyo!!
 
Every politician is corrupt, kwa wa Tanzania is the most corrupt. Just because you don’t expose them haimanishi they are clean.
Chuchungeeee 😂 😂 😂 bana eti most corrupt unajua kuna miradi ilianza same na your fictitious ones.

Unakumbuka Magufuli Bus Terminal na Nairobi Green Bus terminal sasa nani alipiga ufisadi?

Unakumbuka Kigogo Busisi Bridge na Mombasa Gated Bridge ila now Kigogo Busisi iko 90% wapi Mombasa 😂😂😂😂

Wazee wa katiba bora, demoghasia, handshake mmetoboa wapi?
 
While only 30% of households are connected to electricity while 80% of Kenyan households are connected to electricity.
Toka uzi unaanza ndio ka kauli kako as if hakuna kinachofanyika. Unasubiri bwana wenu aseme au?
 
Sasa huyo kichaa kwani haoni serikali inashindwa kulipa mishahara, dawa tu hospitalini hakuna mpaka tunawapelekea misaada ya dawa, juzi tu hapa wameshindwa kufanyia renovation uwanja wao nzee mpaka Chan imepelekwa mbele, hivi bado tu anataka kujitoa akili kwamba serikali yao inaweza kujenga uwanja kwa sasa?
Hadi Kondomu hawana hela.
 
Back
Top Bottom