Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

County gani ikona zero access to electricity? Mention just 1.
Kino kakuta sio umeme tu mpaka chakula
Screenshot_20250126-094924.jpg
 
Kuanzia anaingia Kunyaland kutoka Ethiopia hakuna umeme kafika almost naislum ndio kaukuta na wenyewe ni wa mgao, fungua video
Really? Just from minute 1 nilianza kuona nyaya za umeme, ama wewe hujui how electric poles look like?😂👇👇👇

IMG_1101.png
 
Huyo sio waziri wa mchezo. Alafu kama inakusumbua sana Basi mwambie akaandike hapa basi ni PPP😂😂👇👇👇

View attachment 3214436View attachment 3214437
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂


View: https://x.com/nationafrica/status/1765302835229392935?s=46
 
So hio ndio zero electricity connectivity? Na tuliona tu vizuri umeme ndio ilikua imepotea. 🤣 🤣 Akiwa bongoslum si ilibidii alale kwa kichaka, Kenya hakuna mahali alilala kwa kichaka au kakosa barabara ya lami.
Jamaa anatamani Kenya ifanane na Tanzania😂😂
 
Back
Top Bottom