IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,543
- 9,897
Nimekutoa shimo gani wee kichwa ngumu 🤣🤣unasemaje ww kenge🤣🤣🤣
Nimekutoa shimo gani wee kichwa ngumu 🤣🤣unasemaje ww kenge🤣🤣🤣
mmegoma tena kwenda Uganda 🤣🤣 sasa inatakiwa tuconnect na malawi, zambia etc, Tz becomes the connector wa south🤣🤣🤣
View: https://x.com/Apophis2032/status/2104246569440534872?s=20
Tuma pichaHujui kuwa ujenzi unaendelea?
SGR Kenya is making real profits,
The numbers
View: https://x.com/kenyanwalstreet/status/2104435941528252837?s=20
watakua wamemind kinomaView attachment 3679687
Errval wildlife kwenye post zao,utawakuta kunyan wengi mno wakidanganya watalii ile sanctuary ipo ukunduni,wameanza hadi kuwatapeli watu sasa kupitia serval wildlife,leo wametoa tamko,yan kamwe huwezi kukuta mtanzania kwenye post au kitu chochote cha kenya akisema kipo TZ
unawacheka wenzio wakat maelfu ya machina hawana pakwenda na mitaji yao imevunjwa vunjwa hujui kama wanarudi mitaani kama ma jobless???
View: https://x.com/hildanewton21/status/2103767016997814302?s=46
haya ndio mambo tunayofurahia au sio
View: https://x.com/swahilitimes/status/2103840880180301894?s=46
maskini nchi yangu sijui imepatwa na nn🥺
With diesel? 🤣 🤣 🤣 hio ni ya kusogeza tu mazao kwenye boda alafu moshi takes overWanapambana wapate njia ya kufika kusini mwa afrika,serikali yetu wasithubutu kufanya huo ujinga