The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Ushamt.omba tayari mwanangu, tegemea atakuja na majibu mawili 👇👇Bongo imeingiza gari 16,000 kwa kipindi cha mwaka mmoja march 2023 to february 2024. 👇🏾View attachment 3214920kwahiyo tunawapiga gap la gari 5,000. Hizi ni imports za taifa zima la Uganda. So it us kenya+Uganda= Tanzania 🤣🤣🤣
1. Magari mengi ni transit
2. Ataenda kutengeneza ki article akuambie wame import magari 50,000. Yani from 11k atabadili akuambie ni 50k ili ajipe faraja, huyo ni mkenya mjinga sn yule wa kale kabisa hataki ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣