Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaleta ukatuni.? 🤣🤣🤣
kama huu👇
Screenshot_20240707_223328.JPG
Screenshot_20240206-200250_1.jpg
 
Songoro wanafanya nini kama sio assembly!?
Kwanini serikali isingefanya subsidy kwa Songoro kama serikali ya China ilivyofanya kwa kampuni ya Huawei!?
Nililalamika sana hapa kuhusu Masoud kipanya kutopata support kubwa ya serikali kwenye uzinduzi wa gari lake. Hata kama ni kampuni yake binafsi, lakini akiwezeshwa atatoa ajira na kodi serikali itapata.

Elon Musk makampuni yake hayatengenezi faida, yapo kwa hisani ya ruzuku. Sasa wanashindwa nini kumwezesha Mtanzania aliyeonesha nia na uwezo? Masoud ndiye alikuwa mtu sahihi wa kwenda naye Korea ili ajifunze jinsi ya kuendesha kampuni ya magari.
 
Back
Top Bottom