Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Ndio mkuu, hawa wakenya wanatuzidigi tu midomo mirefu, ila mbuzi tu hawa.. hawatushindi kivyovyote.

Kitu nimefarijika kuskia zaidi ni kwamba kumbe utajengwa uwanja pale Fumba Unguja.. unaijua hiyo ni tafsiri ya kuimarisha uwekezaji pale ukizingatia lile eneo lina miradi mikubwa ya nyumba za kisasa iliyokwisha anza. (Fumba town & Fumba uptown living) pale patatlkua na bounge la mji wa kisasa, kama kweli watajenga uwanja pale.
 
Sandy shore apartment, Mombasa.. Huwa naangalia dar slum inavyo pata tabu katika new real estates alafu nacheka.
1659432515977.png
1659432395468.png
1659432444593.png
 
Back
Top Bottom