Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi at Night
Screenshot_2024-07-07-20-45-39-44_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Kama hii ni kweli inabidi TZ tujitoe kwenye kuhost. Opening and Closing Ceremony ndio hosting yenyewe
Kumbuka ni gazeti la Kenya hilo, kama Tanzania haita host michuano hii manaake hii michuano haitafanyika EA mana Kenya hali yao ni mbaya, nani atataka kwenda Kenya akapigwe bomu? Lkn na sisi pia tunatakiwa tujue kwamba huyu mama amefeli kila kona, anatembelea nyota ya magu, kitu kidogo kama ku host afcon kinamshinda, je SGR angeweza? Hivi ninavyoongea BRT zishamshinda, posta mpk gongo la Mboto hamna kinachoendelea, mm nawaambia watanzania wenzangu kwamba huyu mwanamke hatotupeleka popote, ila kama mtaendekeza usiasa sawa tuishi humo, lkn huyu mwanamke hana anachokijua.
 
Back
Top Bottom