Kumbuka ni gazeti la Kenya hilo, kama Tanzania haita host michuano hii manaake hii michuano haitafanyika EA mana Kenya hali yao ni mbaya, nani atataka kwenda Kenya akapigwe bomu? Lkn na sisi pia tunatakiwa tujue kwamba huyu mama amefeli kila kona, anatembelea nyota ya magu, kitu kidogo kama ku host afcon kinamshinda, je SGR angeweza? Hivi ninavyoongea BRT zishamshinda, posta mpk gongo la Mboto hamna kinachoendelea, mm nawaambia watanzania wenzangu kwamba huyu mwanamke hatotupeleka popote, ila kama mtaendekeza usiasa sawa tuishi humo, lkn huyu mwanamke hana anachokijua.
Alafu wapo kukazana eti Anaupiga mwingi. No strategies kukiwa na tatizo la kitaifa.
Nakumbuka Magu alipoingia kodi alitaka kuikusanya. Mikakati ndio hii.
1. EFD na risit vituo vya Mafuta
2. Madini (ACACIA sakata la barrick, Merrerani, Masoko ya Madini)
3. Makampuni (hakuna kutangaza hasara tena, unalipa kodi fresh hata una hasara)
4. Value added kwa products za ndani (Sakata la kusafirisha unga badala ya mahindi kodi inakua nzuri).
5. Bandari kukazia kila siku ili mapato yareflect mizigo kupunguza ujinga (ikiwa iliwezekana kwa mzee why inafeli kwa Bi mkubwa?)
Sakata la Sukari.
1. Mkulanzi Sugar
2. Kumpa Heka za Kutosha Bhakresa na kumsaidia ili kuanzisha Bagamoyo sugar (Now Imezagaa nchi nzima).
3. Crackdown ya wanaoficha sukari.
Upungufu Wa Dola.
1. Crackdown ya wanaoficha dola (Hadi Boss wa Silent ocean kadakwa)
Breau de change. (Kuchekea chekea ndio kunaleta ukuda huu).
2. Kuamuru BOT kununua Dhahabu ili kuback down shilling (Now tunaambiwa ni Mama anaupiga mwingi)
Umeme
1. JNHPP aliona Tanesco vituo vingine vimejaa ujinga kaamua kujenga bwawa ambao umeme mzima unazidi uliopo combined, ili hawa mafisadi baadae wakileta ukuda anaacha kutumia wa vituo vyao 🤣🤣.
2. TANESCO nzima ilijaa watu wa umeme kuanzia waziri hadi chini.
Alafu enzi za Mzee hakuna kuangalia sijui Mchina wala nini kwenye tender yeye ni kuangalia ubora tu na anachopata baadae.
JNHPP tulipata Kongani ya Viwanda ya El Saewedy Electric.
Kikwete anadai alikua anajenga reli akamuachia Magufuli, hapa EA Uganda kaonesha render unaona hamna kitu, Kenya ndio hivyo mnaona. Tz ndio kaweka vitu vya viwango, tuna option 3 za treni, dah. Wengine moja tu.