Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asikudanganye huyo. Ukishuka kwenye pantoni hapo Mombasa kuna dual carriageway moja inakatiza mjini inazunguka mji mzima na ni safi hapo city centre tu huko kwungine chafu balaa.
You know little about Mombasa, hii ni dongo kundu bypass ambayo iko 90% complete. Its 25km long, kimara kibaha highway is 19km for comparison..
Sama boy 255
a9.jpg
a17.jpg
a7.jpg
a8.jpg
a5.jpg
a3.jpg
a2.jpg
a12.jpg
img_1_1720371279138.jpg
a11.jpg
 
Kuna mada niliona kwamba eti Tanzania inaweza pokonywa nafasi ya uwenyeji wa Afcon Kwa sababu za kuchelewa maandalizi wakapewa Rwanda.

Sijui inawezekana vipi ila kama hii taarifa ni kweli CAF wameipa Kundustan fursa hii basi hata Afcon yenyewe haiana manaa tena,Kwa sababu mechi za ufunguzi na fainali ndio za muhimu Kwa kutangaza Nchi. 👇👇

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1809834967393808591?t=te_MtvTqaSShv_4Zx0ua3w&s=19

Tanzania ndio iimeleta AFCON East Africa hatujawahi shindwa.Rwanda Haina uwezo wa kuipokonya Tanzania labda Uganda au Kenya
 
Back
Top Bottom