NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,011
- 19,188
Unasema mnaenda vitani, anakupa kisu yeye aje na pistol Wakati una machine gun.😂😂Unanichagulia silaha, kweli Umepanic 😂😂😂
Unasema mnaenda vitani, anakupa kisu yeye aje na pistol Wakati una machine gun.😂😂Unanichagulia silaha, kweli Umepanic 😂😂😂
Wamesema waweke mitambo yenye technology ya kisasa yenye kuongeza uzalishaji kuliko ile iliyokuwepo.Halijajibiwa,wanatafuta Mwekezaji wa kufufua na sio kuanzisha kiwanda kipya maana kama ni kiwanda kipya sio lazima kiwepo hapo Arusha kwenye premises za General tyres.
Wakenya bhn, sasa mbona hayatumiki huko kwenu, yn kazi yenu ni kupiga picha na kulingishia watu ila hayatumiki coz hamna infrastructures za kutumia mabasi ya haina hiyo, mko fake sn nyie watu, mmeona Tanzania kuna BRT na nyie mkaiga japo hamuwezi kuyatumia lkn muonekane mnayo, fake sn Kenyans.
Kwnn mnaiita dongo Kundu?Kuna dongo kundu phase 1, 2 na 3. Hii ni phase 2 ambayo construction inakamilika huu mwaka. Ile dongo kundu umekua ukiiona ni phase 1.
Kwahiyo mu host afcon kwa kiwanja kimoja kimoja? Una akili timamu wewe?Mkijitoa hapo ndipo Rwanda inaingia. Unaweza linganisha Amahoro na Mkapa. Imagine Talanta na Amahoro vile zingeleta picha nzuri ya African skyline.
Euro Opening Ceremony, Allianz Arena, Hauna Running trackMkapa una running track nafasi ya kutosha kwa sherehe za,Ufunguzi.
Nimeamini Bongolala hawana exposure. 🤣 🤣Ndo hapo sasa wasanii pale Talanta wata-perform vp?
Euro Opening Ceremony, Allianz Arena, Hauna Running track
View: https://www.youtube.com/watch?v=Ho9eT8lcx-Q
Copa America Opening Ceremony, Mercedes Benz Arena, hauna running track
View: https://www.youtube.com/watch?v=g16-InSpE-c
AFC Asia Cup opening ceremony, Lusail Stadium, hauna running track.
View: https://www.youtube.com/watch?v=djIHlKE4dKQ
Do you see the trend? They clearly prefer stadiums without a running track. Alafu wewe na ujinga wako unaona hilo gofu la BWM litachaguliwa kisa lina running tracks. 🤣 🤣
Unataka nitaje jina wakati unaujua? 🤣 🤣Wewe una kiwanja gani kushinda hilo gofu la BWM?
Hivi hii chanting ya VIVA na kundustan wapi na wapi? 😁😁 Wanaitana mpaka comrades saivi, inaonesha siasa za Tanzania zinawakosha sana, wanavaa na beret cap yaani usocialist mtupu 😁
View: https://x.com/city_digest/status/1810174737244467244?t=2Wnc7OV7lAntwTDZQmZfLA&s=19
Waulize wapuuzi wenu wa Wizara ya Michezo!
View: https://x.com/StateHouseSpoks/status/1809816931286819245
Una act kama mgeni humu bna😄Kuna dongo kundu phase 1, 2 na 3. Hii ni phase 2 ambayo construction inakamilika huu mwaka. Ile dongo kundu umekua ukiiona ni phase 1.
SI unajua mombasa😅Kwnn mnaiita dongo Kundu?
Acha malalamiko yasiyokuwa na msingi ,Kila kitu kimedabo na reflection ipo.Mama anaupiga mwingi Hadi unamwagika 👇👇Alafu wapo kukazana eti Anaupiga mwingi. No strategies kukiwa na tatizo la kitaifa.
Nakumbuka Magu alipoingia kodi alitaka kuikusanya. Mikakati ndio hii.
1. EFD na risit vituo vya Mafuta
2. Madini (ACACIA sakata la barrick, Merrerani, Masoko ya Madini)
3. Makampuni (hakuna kutangaza hasara tena, unalipa kodi fresh hata una hasara)
4. Value added kwa products za ndani (Sakata la kusafirisha unga badala ya mahindi kodi inakua nzuri).
5. Bandari kukazia kila siku ili mapato yareflect mizigo kupunguza ujinga (ikiwa iliwezekana kwa mzee why inafeli kwa Bi mkubwa?)
Sakata la Sukari.
1. Mkulanzi Sugar
2. Kumpa Heka za Kutosha Bhakresa na kumsaidia ili kuanzisha Bagamoyo sugar (Now Imezagaa nchi nzima).
3. Crackdown ya wanaoficha sukari.
Upungufu Wa Dola.
1. Crackdown ya wanaoficha dola (Hadi Boss wa Silent ocean kadakwa)
Breau de change. (Kuchekea chekea ndio kunaleta ukuda huu).
2. Kuamuru BOT kununua Dhahabu ili kuback down shilling (Now tunaambiwa ni Mama anaupiga mwingi)
Umeme
1. JNHPP aliona Tanesco vituo vingine vimejaa ujinga kaamua kujenga bwawa ambao umeme mzima unazidi uliopo combined, ili hawa mafisadi baadae wakileta ukuda anaacha kutumia wa vituo vyao 🤣🤣.
2. TANESCO nzima ilijaa watu wa umeme kuanzia waziri hadi chini.
Alafu enzi za Mzee hakuna kuangalia sijui Mchina wala nini kwenye tender yeye ni kuangalia ubora tu na anachopata baadae.
JNHPP tulipata Kongani ya Viwanda ya El Saewedy Electric.
Kikwete anadai alikua anajenga reli akamuachia Magufuli, hapa EA Uganda kaonesha render unaona hamna kitu, Kenya ndio hivyo mnaona. Tz ndio kaweka vitu vya viwango, tuna option 3 za treni, dah. Wengine moja tu.
Euro Opening Ceremony, Allianz Arena, Hauna Running track
View: https://www.youtube.com/watch?v=Ho9eT8lcx-Q
Copa America Opening Ceremony, Mercedes Benz Arena, hauna running track
View: https://www.youtube.com/watch?v=g16-InSpE-c
AFC Asia Cup opening ceremony, Lusail Stadium, hauna running track.
View: https://www.youtube.com/watch?v=djIHlKE4dKQ
Do you see the trend? They clearly prefer stadiums without a running track. Alafu wewe na ujinga wako unaona hilo gofu la BWM litachaguliwa kisa lina running tracks. 🤣 🤣
Show me pitch ya hicho kiwanja na viti vyake nicheke kidogo.Unataka nitaje jina wakati unaujua? 🤣 🤣