Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Very ugly. Afcon ipewe heshima, itabidi muombe msaada kwa Amahoro RwandaOnesha makazi hapo tuyaone?View attachment 3035839
Very ugly. Afcon ipewe heshima, itabidi muombe msaada kwa Amahoro RwandaOnesha makazi hapo tuyaone?View attachment 3035839
Motsepe tumemuweka mfukoni.Mama anaupiga mwingi Sana 😂😂😂😂
Tuendelee kusifia hatutakiwi kukosoa
Choose your battles wisely kijana, dar slum haiwezani na mombasa kwenye suala la dual carriageways.Itakua ni comparison ya kivipi hii mkuu.? 🤣🤣🤣 tutalinganishaje dual carriage way na barabara ya kawaida.?
Dalili za kupanic moja yake ndio hizi.Reborn Ktb njoo uone huku.. the best of mombasa
Mama Ngina drive 🤣🤣View attachment 3035822View attachment 3035823hii ndio ulikua unataka kuiilinganisha na ocean drive Dasilinga? 😂😂😂
Waulize wapuuzi wenu wa Wizara ya Michezo!
View: https://x.com/StateHouseSpoks/status/1809816931286819245
Ngoja leo nikupe moyo.. enhee haya weka hizo dual za Mombasa na useme idadi yake, nitakujibu then nitakuruhusu uchukue Mombasa na Nairobi tufanye hiyo battle. 🤣🤣🤣Choose your battles wisely kijana, dar slum haiwezani na mombasa kwenye suala la dual carriageways.
😂😂😂😂😂😂 hii yenyewe ni Km zaidi ya 12 . Bado hujachukua za Kwenye BRTDalisinga bhana View attachment 3035806.. kuna mpumbavu mmoja anakwambia Nairobi kuna sidewalks mingi kuliko Dar 😂😂😂 ukiwaomba wakuonyeshe hizo sidewalks wanakuleta M50 walizopiga chakoli pale city center.
Nakupa mfano:Ngoja leo nikupe moyo.. enhee haya weka hizo dual za Mombasa na useme idadi yake, nitakujibu then nitakuruhusu uchukue Mombasa na Nairobi tufanye hiyo battle. 🤣🤣🤣
Hizi chache sasa mkuu 😂😂😂Nakupa mfano:
Dongo kundu phase 1
mombasa-malindi highway U/C
Dongo kundu phase 2 U/C
Changamwe-Mariakani
Umepanic 😬Hizi chache sasa mkuu 😂😂😂
Heb post tuzione.
Kwasasa hii battle ya barabara tuifunge, Kwasababu hatuwezi kukubali barabara zetu zenye viwango vya dunia (zote ziko na BRT lanes) halafu ulete vibarabara vyenu moderate all around kenya .? 🤣🤣🤣 it's big NO.Nakupa mfano:
Dongo kundu phase 1
mombasa-malindi highway U/C
Dongo kundu phase 2 U/C
Changamwe-Mariakani
Mimi tena.? 😂😂 mbona kama unatafuta kuonekana relevant.?Umepanic 😬
Ugly kwa mujibu wa chuki zako.Very ugly. Afcon ipewe heshima, itabidi muombe msaada kwa Amahoro Rwanda
Hii haitasaidia kupokonya Talanta stadium opening and closing matches.Ugly kwa mujibu wa chuki zako.
Tanzania ina historia ya kuhost mashindano makubwa ya mpira.
Tanzania pia ina uamko wa mpira kuliko Kenya.
Usisahau suala la maandamano limeanza kuwateresha kidiplomasia.
Muda utaongea Sie Tz ni vitendo tu.Hii haitasaidia kupokonya Talanta stadium opening and closing matches.
Umenusa kipigo na mapema, Mombasa kuna interchanges hazijashuhudiwa Tanzania yote. Nianze ama unaanza?Kwasasa hii battle ya barabara tuifunge, Kwasababu hatuwezi kukubali barabara zetu zenye viwango vya dunia (zote ziko na BRT lanes) halafu ulete vibarabara vyenu moderate all around kenya .? 🤣🤣🤣 it's big NO.
Fanyeni bidii muondoe running track makwapa stadium na muvunje mauswazi yalioizinguka.Muda utaongea Sie Tz ni vitendo tu.
Kama za EACOP sio?Hizi ni propaganda mkuu. Wapi kauli za CAF wenyewe.?