ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Toka makuru kayaba utembee mzee 😂😂😂Unawazimu, hakuna beach kushinda Diani na watamu ukanda wote wa East Africa.
Toka makuru kayaba utembee mzee 😂😂😂Unawazimu, hakuna beach kushinda Diani na watamu ukanda wote wa East Africa.
Umepanic, fungua hii link alafu hag transformer.Toka makuru kayaba utembee mzee 😂😂😂
Mdogo mdogo unarudi baada ya Non Nato Ally.The Nairobi commuter system by 2027 will be the best in the whole region… remember this!…
Utamfanya Kosugi hug a transformer…🤣🤣🤣Kwa hivyo unadhani camera za afcon zitamilika hizo ofisi ambazo ziko 0 km kutoka kwa uwanja. Unajua aina ngapi za photograghs?
Yani kwenye suala la beach Zanzibar na mafia ni Moto WA kuotea mbali, tena mafia island ndio inasifika kwa kuwaona na kucheza nao nyangumi na wakubwa barani africa, weka akiliniUmepanic, fungua hii link alafu hag transformer.
![]()
Africa's Leading Beach Destination 2023
World Travel Awards is proud to announce the 2023 winner for Africa's Leading Beach Destination as Diani Beach, Kenyawww.worldtravelawards.com
For the sake of African image rwanda should replace bongoland.Utamfanya Kosugi hug a transformer…🤣🤣🤣
Police give out free food at Uhuru Park Gen Z concert.
View: https://x.com/AlinurMohamed_/status/1809954922059743513
Huo uwanja hautaisha believe meKenya ubinafsi sana nadhani hata kuhonga wapo tayari ,si nchi ya kushirikiana nayo Nyerere aliona mbali kuwaita nyang'au.
Akili za marehemu.So shida kubwa ya wakenya ni njaa😂😂😂
Ndicho mlichobakia nacho, 😂😂😂Huo uwanja hautaisha believe me
Dubai ni Tax Heaven maybe ? Not so sure tho lakini hizi ni sbabau huwa company zinahama.Wakuu kuna kitu nimenotice naomba kujua why?
Kampuni Zilizoanzishwa Tanzania zikawa kubwa nowdays zimehamisha HQ Dubai yaani kama sielewi.
1. Mount Meru (Meru Oil)
2. Primefuel.
Mwenye elimu ya uchumi atusaidie.
Mombasa ipi? Hii hii wanayouza maji city centre? Hebu acha kujaza server hapa.Choose your battles wisely kijana, dar slum haiwezani na mombasa kwenye suala la dual carriageways.
Asikudanganye huyo. Ukishuka kwenye pantoni hapo Mombasa kuna dual carriageway moja inakatiza mjini inazunguka mji mzima na ni safi hapo city centre tu huko kwungine chafu balaa.Kwasasa hii battle ya barabara tuifunge, Kwasababu hatuwezi kukubali barabara zetu zenye viwango vya dunia (zote ziko na BRT lanes) halafu ulete vibarabara vyenu moderate all around kenya .? 🤣🤣🤣 it's big NO.