ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Harafu acha utoto,ulimwengu wa Sasa ni WA Sayansi na teknolojia hivyo kupuuza mambo yaUna shida ya uelewa.
IT ni jambo la kujifunza mashariki ya mbali!?
Nimekuambia tunashindana Korea!?
Shule zinazofundishwa na hao wakorea zipo ngapi!?
Mbona shule yetu ya serikali hatukufundishwa na hao wakorea!?
Mngewaomba wakorea wawafundishe ufanisi wa hata haya mambo matatu;
1)Uendeshaji wa bandari.
2)Uendeshaji wa usafiri wa ardhi na anga.
3)Teknolojia mbali mbali ya viwanda ili muanze kuunda vitu vyenu wenyewe.
4)Teknolojia na ufanisi katika uhandisi wa miundombinu kama madaraja makubwa na barabara.
Angalau hivyo tu,we unaniletea mambo ya IT ya shule yako hivyo vina massive impact kwa taifa!?
Una short sight km mama yako Samia.
Yaani mtu anakusaidia unataka akusaidie Kila kitu? Acha ujinga.
1.Kwenye Bandari wapo Mwanza na Kigoma kazi inaendelea,lakini pia MoU ya juzi imehusisha ushirikiano zaidi kwenye Bandari.
2.Chuo Cha Usafirishaji pale Dar ni Korea ndio wafadhili Wakuu.
3.Upewe wewe teknolojia ya viwanda Ili wao waishije? Wana Madini kama Tanzania? Hata hivyo wako tayari kuwekeza na ndio maana kwenye ziara ya juzi,Hyundai wamesema watakuja kufanya feasibility ya kuanzisha kiwanda Cha magari(Wako tayari kuwa wawekezaji sio kukupa teknolojia kizembe na zile ambazo wanazitegemea).
4.Wakati wanajenga daraja la Tanzanite kwani walikuwa hawafanyi technology transfer ya Uhandisi wa Ujenzi wa.madaraja? Lakini pia kabla ya huko unaanza darasani ndio maana mnpewa scholarship za Bure,ikiwemo kazi Yako ya Kusafisha vinyeo vya Wagonjwa.
Mwisho Ushirikiano kwenye eneo la Sanaa na michezo ni sehemu tuu ya huo ushirikiano mkubwa,acha shobo za kijinga.